CV ya John Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya John Mnyika

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sharp lady, Jun 14, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wadau!
  Mimi ni mmoja wa naomuunga mkono na hata kukubaliana sana na mambo mengi ya kimaendeleo pamoja na uongozi wake mbunge wa Ubungo mh. Mnyika ila sijafanikiwa kupata cv yake nakuweza kumfaham vizuri hasa kwa upande wake wakielimu yoyote mwenye kujua kindly help.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Form Four (1998) Maua Seminary div 1 point 7, A (tisa)9, out of 10 subjects!
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii inatosha kujua kakaa kivipi juu ya shle yake
   
 4. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dah hii CV imetulia kweli hapo tu ndo mwisho
   
 5. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee respect sana Mnyika.
   
 6. n

  nasri Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  then tambaza, UDSM na sasa chadema
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa huo ni mwanzo tuuu!
   
 8. S

  Sharp lady Senior Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana wadau dah! hata kura yangu nilimpa kihalali.
   
 9. L

  Lua JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi za kijamii kama UNA, TYVA na pia muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka 2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye kipaji cha pekee.
   
 10. S

  Sharp lady Senior Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko fit mpaka anafurahisha safi sana.
   
 11. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  hayo matokeo ya Tambaza na kuhitimu BBA hapo UD una uhakika navyo au umechakachua..?
   
 12. S

  Sharp lady Senior Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau tupe muongozo kama unajua vinginevyo.
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  Duh hiyo imetulia sana kwa mbunge wangu wa ubungo, kifupi ukitaka kujua mtu wenye akili we angalie matokeo yake ya form four tu.

  Ukikutana na mtu ana PHD then matokeo ya form four ana FOUR ya nguvu basi utajua tu MAGUMASHI.
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,075
  Trophy Points: 280
  Anastahili!
   
 15. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Mimi ni shabiki wake pia lkn sipendi ukweli unapopindishwa kwenye jambo lolote si siasa peke yake,BBA alijiunga ambapo ilikua ni kozi ya jioni akiwa na umri 24 huku akiendelea na siasa lakini hakumaliza mpaka sasa,maua sem ni kweli div 1.7,Tambaza 3 ya mwanzo,alikua open university sina uhakika kama tayari au..sisemi kwa ubaya.
   
 16. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Maua Seminary ni sawa ila Tambaza na UD umechakachua, Tambaza alipata Div 2 weak na UD alifanya LLB
   
 17. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Nyie wasomi, tatizo lenu ni hilo. CV ya nini, kama mtu anafanya kazi inayoridhisha inatosha. Ukienda mitaani walalahoi wanalalamika kuwa wasomi ndio walioifikisha nchi hii kwenye umaskini. Ndio wezi wakubwa. mafisadi wa CCM wote ni wasomi. Hivyo usomi katika kuongoza nchi siyo ishu kubwa, ni uadilifu wa mtu. Tukija kwenye theatre ya kupasua moyo, hapo tuongee CV, sio kwenye mambo ya hekima kama uongozi (ingawa kusoma kunaweza kuwa added advantage!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!) Najua mtanishambulia, kazi kwenu.
   
 18. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Duuuuuuuuuuuuh...sasa nani mkweli hapa?? (Tunaomba detail zaidi)
   
 19. S

  Sharp lady Senior Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona unajistukia mkuu??? kila mtu huwa ana-interest zake katika jambo hasa katika maswala ya uongozi mm huwa napenda zaidi kujua uwezo wa mtu kielimu hasa pale anapokuwa anahusika katika kufanya maamuzimakubwa yakimaendeleo ambayo kwa namna moja au nyingine yananigusa, Mnyika ni kati ya viongozi wadogo wanaonivutia sana na uwezo walionao ndiyo maana nikapata msukumo wakumjua vizuri kielimu. Ninahaki pia ni mbunge wangu na kura yangu nilimpa.
   
 20. N

  Newvision JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haka kajamaa ni kichwa tena ni asset kwa taifa
   
Loading...