Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwara akiwa katika hali inayoonekana kuwa amechanganyikiwa...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Golikipa wa zamani wa Simba Aishi Manula amempongeza Binti yake kwa kumaliza chuo, binti yake huyo alikua anasomea uuguzi (nursing) Manula Ameandika, "Hongera sana binti yangu mimi na mama yako...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Mtangazaji maarufu na kipenzi cha mashabiki, Diva Gissele Malinzi almaarufu Diva The Bawse, ametangaza rasmi kuachana na kituo cha Wasafi Media, akieleza kuwa amefikia hatua ya kuanza ukurasa mpya...
8 Reactions
129 Replies
9K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu jamaa jaribu kuangalia nyimbo zake zote , anastruggle sana ku shake ile ya ki Michael Jackson lakini ndio hivyo.. imemkataa..
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Jonh Cena facing is facing heavy social media backlash especially from women after the details of the contract he made his ex girlfriend Nikki Bella sign were revealed. In one of the contract...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndo ya Machozi inakubalika kila kona ya Afrika Masgariki
1 Reactions
9 Replies
734 Views
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
37 Reactions
621 Replies
142K Views
Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo Nilimkubali sana japo...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje. Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa...
8 Reactions
113 Replies
14K Views
Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna...
9 Reactions
193 Replies
18K Views
Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Za jioni ndugu zangu, kwema? Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani. Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu...
14 Reactions
329 Replies
25K Views
Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la...
23 Reactions
93 Replies
10K Views
Wakuu, Hivi mwaka huu zile tuzo za Tanzania Music Awards hazipo? Nakumbuka mwaka jana mbwembwe zilikuwa nyingi sana mpaka tuzo kuoneshwa MTV. Mwaka huu vipi wakuu? Pumzi zimekata au wasanii...
2 Reactions
6 Replies
746 Views
Wakuu, kidumu cha chetu ama kife. Ali kiba ni moja ya vipaji vikali vya muziki wa bongo fleva kuwahi kutokea nchini, king kiba ana ngoma nyingi sana kali. Wakuu sikio langu limesikiliza nyimbo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze. NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
29 Reactions
295 Replies
32K Views
Huduma kama 1. Kusafisha kucha Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa...
2 Reactions
24 Replies
909 Views
I salute you kinsmen. Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol. Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana.. Ila benpol ni kichwa...
2 Reactions
12 Replies
602 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…