Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu
Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada...
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake...
Wapi alipo Misanya Bingi?
Alikuwa kati ya watangazaji mahiri ndani ya ITV na Redio One na aliongoza vipindi mbali mbali ikiwemo Kipusa akirithi mikoba ya Abdallah Majura.
Ningependa kujua alipo...
Hello wakubwa (weka mbali vijana wa 2000)
Leo nimemkumbuka sana huyo dada NANCY MITIKISIKO SALAMBA,Yupo wapi siku hizi ?
Ana chimbo jipya?Kama anachimbo jipya tuambiane wakuu
Vitu vyake vilikua...
Wakuu,
Sema kuna watu wana siri jamani.
Mbona kwenye harusi hakuwa hivi?
Kwa jinsi wanavyopenda shughuli hawa wawili unaweza kuta BABY SHOWER ikafanyikia Nigeria na Tanzania.
Ngoja tuone!
Hii diss-track aisee ambayo motra ameitoa like seven days ago ni noma sana according to my ears, Mex Cortez needs a serious comeback. Hajamuacha mtu salama humo hadi kina Freddy Mullah, Conboi...
Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo...
''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika...
Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwara akiwa katika hali inayoonekana kuwa amechanganyikiwa...
Golikipa wa zamani wa Simba Aishi Manula amempongeza Binti yake kwa kumaliza chuo, binti yake huyo alikua anasomea uuguzi (nursing)
Manula Ameandika, "Hongera sana binti yangu mimi na mama yako...
Mtangazaji maarufu na kipenzi cha mashabiki, Diva Gissele Malinzi almaarufu Diva The Bawse, ametangaza rasmi kuachana na kituo cha Wasafi Media, akieleza kuwa amefikia hatua ya kuanza ukurasa mpya...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya...
Jonh Cena facing is facing heavy social media backlash especially from women after the details of the contract he made his ex girlfriend Nikki Bella sign were revealed.
In one of the contract...
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo...
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa...