Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa...
13 Reactions
134 Replies
35K Views
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi...
6 Reactions
100 Replies
16K Views
Habarini za muda huu wana jf. Imefika wakati sasa wa nyumba ya WCB kupata miji mingine, watoto wameshakua vya kutosha haifai waendelee kuishi na baba yao wakati wote wananyoa ndevu. Diamond...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Mlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura...
6 Reactions
60 Replies
26K Views
Hapa nitataja makusudi au Mchekeshaji mmoja mmoja 1. Carpoza na Oka Martin Hawa ni Wachekeshaji wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na...
7 Reactions
87 Replies
17K Views
Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nimeona sehemu jarida LA Forbes limemuorodhesha nature kwenye top ten... kuna ukweli hapooo???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuwa alichoropoa mimba zake mbili , mtangazaji wa Radio E - FM, Penniel Mungilwa ' Penny ' ameibuka na kujibu...
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ' Diamond ' Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa. Penny alitoa tamko...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani? Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi...
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz. Hii ni baada ya kubadirisha bio...
2 Reactions
131 Replies
23K Views
Dogo ameigiza kama Tupac kwenye movie inayohusu maisha ya Tupac Shakur itwayo " All Eyes on me" . He is a typical Tupac look alike. Kwenye interview yake anasema his dady ( who is a.Music...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Fella anasema habari za Harmonize kuondoka Wasafi hata wao wanazisikia mitandaoni. Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb. Amemuomba aage akiondoka.
3 Reactions
262 Replies
32K Views
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani? Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu? Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize...
3 Reactions
112 Replies
12K Views
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
5 Reactions
624 Replies
129K Views
Habari za muda wakuu, Katika kusikiliza na kusoma lyrics za ngoma ya Diamond Platinumz Ft Fally Ipupa inaonekena aliamua kufikisha ujumbe kwa mzazi mwenzie huyo. Tuanze hapa "Una pesa kama...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]... Btw wacha tusubiri baby...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat 1...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Katika tamasha linalofanywa usiku huu wa tarehe 10/08/2029 Uko nchini Marekani New York. Harmonize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia nchini Marekani katika tamasha la Oneafrica_Musicfest. Uku...
0 Reactions
88 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…