Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa...
14 Reactions
102 Replies
926 Views
Mke wa nyota wa As Monaco Paul Pogba, Zulay Pogba amejitokeza hadharani kumtetea mume wake, na kukataa madai ya watu kwamba kiungo huyo mwenye umri wa miaka 33 anapaswa kustaafu soka na aliamua...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Polisi nchini Ecuador wamekamata zaidi ya kilo 450 za Cocaine kutoka kwenye lori karibu na mpaka wa Colombia. Vifurushi hivyo vilidaiwa kuwa na stika zenye picha ya mwanasoka wa Norway, Erling...
0 Reactions
5 Replies
206 Views
Kwa mara ya kwanza mtangazaji nguli nchini Taji Liundi amefunguka kuhusu maisha yake binafsi na mchango wake katika tasnia ya muziki. Taji Liundi aka Master T ambaye amefanya kazi na vituo...
5 Reactions
36 Replies
15K Views
JAY MOE - MPENZI KWAHERI Intro: "Au sio Kwahiyo ndio Unaondoka sio , Amna Noma Bwana , Mi ndio Hivyo Nipo, Au sio kinachoenda ndio kinachorudi." Verse..1 Kwanza sikuwa na Muda wa Mapenzi...
1 Reactions
3 Replies
83 Views
Mwamba huyu apa Konk Master Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo
8 Reactions
64 Replies
978 Views
Mitandaoni kumeibuka mjadala kuhusu muonekano wa msanii wa Tanzania, Juma Jux, baada ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa msanii huyo amepungua uzito kwa kiasi kikubwa. Baadhi...
19 Reactions
258 Replies
5K Views
Hii interview ya huyu dada anayeitwa Shuu Salun mmeiangalia? Yaani huyu dada alicheat, alafu akaja kumwambia kaka wa watu kuwa hiyo mimba ni ya kwake na alisema ALIPANGA kabisa kupata hiyo mimba...
4 Reactions
29 Replies
782 Views
Nabii Koko Kalapina anasema watu wawaache wasanii wakongwe wale pensheni zao na michongo mingine ya kuwaingizia pesa sababu wamesota sana na huu muziki. Kupitia page yake Kalapina ameandika 👇...
8 Reactions
180 Replies
2K Views
Ukishindwa kuwa na nidhamu kwenye fedha basi sbiri fedha ikufundishe nidhamu Na kilichobaki kwa sasa mostly ni ku act, kulazimisha aonekane bado ana fedha, kitu kinachozidi kumuingiza kwenye...
16 Reactions
124 Replies
3K Views
Cristiano Ronaldo amefunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa muda mrefu, mwanamitindo Georgina Rodríguez, katika iliyofanyika nchini Ureno. Mchezaji huyo nyota wa soka wa Ureno, mwenye umri wa miaka...
5 Reactions
17 Replies
418 Views
Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi...
11 Reactions
45 Replies
858 Views
Kisa cha Ibrah Da Huster Kwenye Jukwaa la Miaka 30 ya Bongo Fleva Katika maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Fleva yaliyofanyika Rock City Mall jijini Mwanza, kundi la Nako 2 Nako lilipata nafasi ya...
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD, Best...
7 Reactions
10 Replies
278 Views
Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka...
1 Reactions
22 Replies
361 Views
Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa...
9 Reactions
74 Replies
1K Views
Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake...
9 Reactions
13 Replies
613 Views
Mastaa wengi wanapokuwa kwenye mahusiano,wanapotengana,au wanapofanya jambo linalozua mjadala,taarifa hizo huvutia attention kubwa kutoka kwa mashabiki. Soma zaidi:Inawezekana kubalance kazi na...
1 Reactions
6 Replies
100 Views
Mwanamama Zari Hassan (45), anayejulikana zaidi kama Zari The Boss Lady kutokea Uganda amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa kuchepuka kwa mpenzi wako asiyetoa msaada wa kifedha "siyo usaliti...
5 Reactions
37 Replies
629 Views
Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder...
2 Reactions
10 Replies
134 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…