TANZIA Mtangazaji wa Wasafi Media (Fatma Abdallah)afariki dunia

ZamdaIssa

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
879
1,456
Aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi TV na Wasafi FM Fatma Abdallah almaarufu Kungwi mkata shombo amefariki dunia mchana wa tarehe 15/08/2020 hospitali alikokua amelazwa baada ya kuugua kwa muda wa wiki 2!

Chanzo cha ugonjwa hakijaafahamika bado! Marehemu anatarajiwa kuzikwa Leo saa kumi jioni nyumbani kwao Zanzibar katika makaburi ya Mwanakwerekwe!

Innalillah wainna ilaihi rajiuun!

Poleni Wasafi Kwa ujumla

Fatma.jpg
 
Aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi TV na Wasafi FM Fatma Abdallah almaarufu Kungwi mkata shombo amefariki dunia mchana wa tarehe 15/08/2020 hospital alikokua amelazwa baada ya kuugua kwa muda wa wiki 2! Chanzo cha ugonjwa hakijaafahamika bado!marehemu anatarajiwa kuzikwa Leo saa kumi jioni nyumbani kwao Zanzibar katika makaburi ya Mwanakwerekwe!Innalillah wainna ilaihi rajiuun!poleni Wasafi Kwa ujumlaView attachment 1538691View attachment 1538694

Daah wadau wa wasafi tumepoteza chuma cha ukweli, tangulie bibie ni safari yetu nenda kapige kazi ya mola ratiba bado zinaendelea.
 
Back
Top Bottom