Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo Mbosso mwenyewe na kuna ishu za watumwa kuchapwa n.k Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa! Kwan kuna shida gani. Lakin ile ni...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera. Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu. Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kisanga kilitokea katika kanisa moja eneo la Buchinga baada ya majamaa kufokea vikali mtumishi wa Mungu kwa madai alikuwa akiwapendelea akina dada katika mahubiri yake. Mdakuzi alisema kwamba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rosa Ree Chemical Stosh Pinky Tammy the Baddest Cindy Rulz Frida Amani Chiku k Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
6 Reactions
56 Replies
10K Views
RAPA Hormorapa aliwahi kutoa ngoma “Kiboko ya Mabishoo”, alipigwa tafu na Mfalme wa Temeke, Sir Nature. Hivi Harmorapa ana ukiboko gani wa mabishoo? Kuna mdada, mrembo sana, demu tu. Ukimwona...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa...
12 Reactions
138 Replies
23K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
16 Reactions
194 Replies
32K Views
Hakuna alieimba wimbo wa maombolezo unaogusa hisia kama Goodluck Gozbert, wimbo unatia moyo sana,wimbo mzuri sana.Big up
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Mambo vipi? ......... Label ya muziki Tanzania, WASAFI ( WCB) ni label kubwa sana hapa bongo,lakini pia imekua na matukio mengi mazuri na mabaya Kuhusu management nzima. Leo jamaa Salam SK...
1 Reactions
104 Replies
19K Views
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa. Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa...
17 Reactions
76 Replies
7K Views
Msanii mkongwe wa muziki kutoka CONGO Koffi Olomide atuma salamu za pole Tanzania juu ya kifo cha hayati Rais John Pombe Magufuli #ripjpm
2 Reactions
4 Replies
1K Views
MMILIKI WA GARI ALIYOPATA AJALI MAREHEMU SHARO MILLIONEA AJITOKEZA na KUSEMA HAIDAI CHOCHOTE FAMILIA YA MAREHEMU MMILIKI wa gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na msanii maarufu nchini...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mkali kutoka nigeria burna boy hii wiki imekua ya neema sana kwake baada kushinda Tuzo ya Grammy,na siku ya Jana mkali justin Bieber ameachia album yake yenye nyimbo 16 moja kati ya ngomq hizo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu nimesikiliza baadhi ya nyimbo za maombolezo zilizotolewa na wasanii mbalimbali Kama vile, Rayvan, Konde Boy, Msechu n.k.. Nikarudi kumsikiliza tena Capt. Komba kwenye nyimbo zake enzi zile...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau salaam. Nimekuwa nikisikiliza na kutazama nyimbo za maombolezo kufuatia kifo cha JPM, hakika sijasikia ToT wakitamba kama ilivyokuwa enzi za marehemu John Komba (hata Kama wametunga)...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Achana na yale matukio yake flaniflani machache, binafsi huwa namuelewa sana huyu bwana mkubwa
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…