Msanii gani angalau amemkaribia Capt. John Komba mpaka Sasa?

THE BROKER

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
696
824
Wakuu nimesikiliza baadhi ya nyimbo za maombolezo zilizotolewa na wasanii mbalimbali Kama vile, Rayvan, Konde Boy, Msechu n.k..

Nikarudi kumsikiliza tena Capt. Komba kwenye nyimbo zake enzi zile za kumuaga Mwl. Nyerere aisee sijaona msanii aliyemfunika hadi Sasa.

Embu tujadili hapa mbadala was Capt. Komba ni nani? Au ndio pengo lake halizibiki?
 
Yes bado hajazaliwa ila,
Nikizungumzia ile nyimbo yebye dak 10,
Darasa kaua
Madee anajua
Mpoto misemo yake ni moto.
Wengine hapo labda joel lwanga kidg lavalava . Waliobak wote waliimba utopolo😁
 
Hakika wasanii wamenifurahisha hakuna hata wimbo mmoja unaogusa, hivyo imesaidia kutokugusika kwa namna yeyote ile.
Nawashukuru wasanii kwa masauti maverse na makila kitu yenu mabaya.
Wameimba ili mladi kukizi nafsi zao juu ya yale makofia aliyowapa na pia inaonyesha imefurahi kweli mkuu kuondoka, ukiangalia iliyo mengi hata kwenye nyuso zao haionyeshi huzuni bali imejawa na unafiki tuu
 
Komba alikuwa smart ni udhalilishaji kumfananisha na hawa wabana pua,nyimbo za komba ukizisikiliza kwanzia ule mrindimo wa sauti yake inakufanya uwe makini zaidi kujua kinachoimbwa na ktk kusikiliza ndipo unapojua maana ya wimbo husika.

Zipo nyimbo bora za maombolezo za wakati wote kama “Kifo” Dk Remy,“Tutakukumbuka” Gk&TID, “Swahiba” wa yule dogo wa Temeke (ni marehem sasa) somebody DITO&Afande Sele,“Rufaa ya Kifo” Cosmas Chidumule&Marijani Rajabu hizi nyimbo hata uzisikilize mchana kutwa hazichoshi na zinafunza.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom