Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel...
46 Reactions
437 Replies
132K Views
Hakimi hana noma ila masuala yote ya miamala anakwambia ngoja tucheck na Bi Mkubwa tuone anatusaidia vipi, si unajua Mama Mtu mimi mipango sina😀
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN. Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Mtanange huu unawakutanisha warembo hawa ambao wametikisa mziki wa U.S.A na duniani kwa ujumla. Hapa tunatazama ni msanii gani anapaswa kupewa taji la malkia wa mziki kwa ukali wa ngoma...
7 Reactions
100 Replies
6K Views
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume...
22 Reactions
237 Replies
30K Views
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI. Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha. Hivi karibuni Wasanii na Wadau...
25 Reactions
288 Replies
42K Views
Dudu baya au KONKY master siku hizi kaacha muziki na kuwa mchambuzi much know katika online Tv hapa bongo 1.Anajua chanzo cha diamond kugombana na wasanii wenzake kina harmonize,alikiba 2.Anajua...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani. Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika. 1. Trevor Noah...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
" Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw Muigizaji nguli kutoka kiwanda cha Nollywood kule Nigeri Osita Iheme maarufu kama Ukwa au Pawpaw, amesema kua Hana mpango wa kuoa wala...
1 Reactions
6 Replies
506 Views
Vyombo vya Habari Nchini Senegal vimeripoti kuwa Serikali ya Nchi hiyo imelichukua eneo lililokuwa limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Mji wa Akon ‘AKON CITY’ na kulirudisha mikononi mwake baada ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni wimbo ulioshika hisia za wengi Sana ulipotungwa na kuzinduliwa 1985 wengi hatukuzaliwa. Na bado miongo mingi baadae haijachuja. Wimbo huo ulitungwa na marehemu Michael Jackson pamoja na...
4 Reactions
14 Replies
768 Views
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans. Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini...
16 Reactions
123 Replies
6K Views
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz. Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande...
7 Reactions
110 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF, Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Kwa miaka mingi ulikuwepo uvumi usiokoma wa uwepo wa video za utupu za muigizaji na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania (namba 5) mwaka 2006 Irene Pangras Uwoya. Uvumi huo hatimaye ulifikia...
42 Reactions
282 Replies
15K Views
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule "Sijawahi kuwa na...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Souce : BBC Swahili Wild King Nights' Tumefahamishwa kwamba Combs iliwadhibiti sana wandani wake. "Sitakaribia kuwa muwazi kwenu nyote," mfanyakazi moja wa kampuni ya Combs aliweka ujumbe...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…