Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Well, so this Chelsea fan Lee Mitchell, just got himself a tattoo of John Obi Mikel’s name on his bum after the Nigerian broke the deadlock with a header against Derby County in the 4th round...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Socialite Kim Kardashian, took a dramatic fashion turn by heading to Starbucks in LA with torn jeans which exposd most of her upper thighs. Her Elder sister Kourtney wore a less revealing...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kufuatia huyu Kaka'etu aliyepata heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini kupitia IPP Media, Ambaye pia ni mwalimu wa fani hiyo Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi...
0 Reactions
46 Replies
16K Views
Umuofia kwenu, Igweeeeeee. Shwari wapenzi wana JF. Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni shabiki kindaki-ndaki wa Diamond Platinumz. Kulingana na uhalisia wa jamii tunamoishi, nimejikuta...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni. Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake. Nilitazama interview moja...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai...
2 Reactions
190 Replies
51K Views
Zuma’s growing stock of wives and the burden of Christianity POLYGAMY: Nicholas Sengoba Jacob Gedleyihlekisa Zuma, 65, President of the African National Congress (ANC) has been making...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala. Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
47 Reactions
247 Replies
42K Views
  • Redirect
Hii ndio Taarifa ya sasa mitandaoni , kwamba Msemaji wa Ikulu ya Tanzania , ambaye pia ni Mtangazaji wa zamani wa BBC , Zuhura Yunus , amefunga pingu za maisha na ndugu Fumbuka Nkwabi Mwanakilala...
0 Reactions
Replies
Views
Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje. ''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango...
16 Reactions
88 Replies
13K Views
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo https://youtu.be/E2mJ-w_sZ2Q
7 Reactions
89 Replies
14K Views
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa...
14 Reactions
81 Replies
7K Views
  • Redirect
Last Saturday Zuchu alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa Muziki. Huu ni ulimwengu uliojaa vitimbwi na vioja vya kila aina ya ushetani. Huwezi kupata unachokitaka bila kukubali kuishi maisha ya...
4 Reactions
Replies
Views
Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa leo story kubwa ni pambano linaloendelea uko YouTube kati ya Zuchu na Nandy. Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu?
1 Reactions
88 Replies
11K Views
Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards. Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao Toka majuzi...
6 Reactions
104 Replies
9K Views
Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda, Ukiamka unaskia jirani anaupiga Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom