sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,678
- 9,839
Kwa leo story kubwa ni pambano linaloendelea uko YouTube kati ya Zuchu na Nandy.
Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu?
Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu?
...hapo winner unamjua tayar..lakin pia views zinasoma ngapi tayar jibu unalo....