Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini! Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo. Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili...
10 Reactions
77 Replies
11K Views
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya? Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz...
13 Reactions
164 Replies
18K Views
13 Reactions
124 Replies
13K Views
Wakuu Tazameni Picha Hizi Ambazo Zimeonesha Wachezaji Warefu Wanapokutana Na Wachezaji Wafupi Kwenye Game Moja [emoji91][emoji91][emoji91] ..... Kimsingi Mm Ni Mrefu Sana so nikionaga Mwanaume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World 2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili Juliana Lugumisa kutokana na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania...
5 Reactions
113 Replies
17K Views
Kuna sintofahamu ambazo zinaendelea mitandaoni kuhusiana na Gari mpya ya msanii Diamond Platnumz Rolls Royce CULLINAN black badge 2021. 1.GARI NI FAKE kigezo wanachotumia watu wenye chuki kuhusu...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Habarini Wana Jf. Good news Ni kuwa Page ya Grammy umeona efforts anazozofanya kijana mpambanaji na msanii A-List Africa (Diamond platinumz, Burnaboy na wizkid) kuwa anastahili Grammy. Na hii...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza, Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha...
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara...
20 Reactions
173 Replies
26K Views
Wakuu, Mwanetu kabisa wa Temeke Mikoroshini kashalamba ubalozi wa Temeke, meya amemkabidhi bendera Juma Nature ili aitangaze Temeke kokote aendako hata akiwa maskani aitangaze Temeke. Hongera...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani. Namba...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa...
2 Reactions
598 Replies
165K Views
Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram. "Mimi...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu, Yapo mambo hayawezi kupita kirahisi ki JF. Majuzi tumemsikia msanii Linah akilalama kudhalilishwa tena mbele ya public na msanii mwenzake Harmonise lakini ni kama linataka kupita kisanii...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili...
3 Reactions
337 Replies
48K Views
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia. Kwa namna yeyote ikitokea negative...
8 Reactions
125 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…