Balozi was Temeke😂Embu Fafanua Kidogo....Balozi Wa Kitu gani ili Wenzio tukiulizwa tujue Cha Kujibu....!
Wakuu
Mwanetu kabisa wa temeke mikoroshini kashalamba ubalozi wa Temeke, meya amemkabidhi bendera Juma nature ili aitangaze tmk kokote aendako hata akiwa maskani airangaze temeke.
Hongera mzee wa ugali na samaki mkubwa.
Haa haa haa wee mtu umenichekesha sanaSintah na jamaa ake si walinyonyana denda mpaka gari ikagoma kwenda!! Inaniuma sanaa kila nikifikiria huwaga naumia...
Wazawadie mkuuJuma nature najikutaga tu nakapenda hako kamtu na chegge sjui kwann mahaba yangu kwao hayapungui
Ameacha Kuzurula na Bangi katika Gari lake?Wakuu
Mwanetu kabisa wa temeke mikoroshini kashalamba ubalozi wa Temeke, meya amemkabidhi bendera Juma nature ili aitangaze tmk kokote aendako hata akiwa maskani airangaze temeke.
Hongera mzee wa ugali na samaki mkubwa.
DuAmeacha Kuzurula na Bangi katika Gari lake?
Temeke.Nchi gani?
Ni kama masai aache kutembea na sime yakeAmeacha Kuzurula na Bangi katika Gari lake?