Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea? Alipoteza...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] Platinumz
9 Reactions
113 Replies
13K Views
  • Closed
Mpe marks captaiin anajua kuchagua??
0 Reactions
17 Replies
5K Views
WanaJF naombeni mnijuze kuhusu mdadaa shamim Mwasha mke wa Abdul, mmiliki wa blog ya 8020 fashions alifanya baby shower nzuri sana. Ni mzuri mimba ilimpendza kwel je kajifungua?
1 Reactions
166 Replies
42K Views
Yaani Manara kasifiwa na Chama Insta Live , Tajiri wenu amekasirika kabisa. Ni hakika yale aliyosema Haji tumeanza kuona ukweli wake. Huyu mtu ni mshamba sana, tajiri gani ana tabia za kimaskini !.
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Mteule wa JOTO LA ASUBUHI Mh. Mangele Seteve Nyerere, Amekula kiapo na kuanza majukumu yake katika kuhakikisha mskilizaji wa E-fm anapata habari na uchambuzi was magazeti. Mwanzo mwisho burudani...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu gusa link hiyo ili uniwezeshe nishinde hiyo milioni moja (1) toka twa Mo Dewji. Hakisha una RETWEET Asante
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Tupunguze Kumsifia ' Kinafiki ' na tujipange Kwanza katika Kumsaidia ili apone na arudi katika ' Game ' kama kawaida. Kwa tunaojua Imani za Kiafrika kumpamba na kumsifia Mtu ' Mgonjwa ' sana ni '...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi. Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka...
16 Reactions
73 Replies
13K Views
Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba. Ruby kupitia...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo...
3 Reactions
76 Replies
11K Views
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Amesikika Mkurugenzi wa Clouds Media Group, ndugu Joseph Kusaga katika kipindi cha Leo Tena ninamnukuu "Clouds watangazaji hawaondoki kwa taarifa tu, Zamaradi atarejea kuanzia wiki ijayo "...
7 Reactions
38 Replies
11K Views
Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie...
16 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanajamii karibuni poleni na shughuli za maendeleo kwa wale wadau wa Music Kali ebu taja kibao chako kimoja cha grand maitre ulichokipenda Mimi ni matata ya muasi na mobali Ekoki Kosila te(...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa...
8 Reactions
41 Replies
12K Views
Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast...
9 Reactions
93 Replies
9K Views
Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde... Nawasilisha Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake...
9 Reactions
50 Replies
9K Views
MICHAEL JACKSON Ni msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote (most awarded artist of all time). Alishinda tuzo nyingi kuliko msanii yoyote ambaye yupo hai au alishakufa. Alipata tuzo 39 kutoka...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…