It sounded like a Kiki before, ila shortly after hearing jack Mini interview , kuwa walikua wana date na jamaa and it has been only two weeks ndipo jamaa akaamua kumchumbia, mind you nasikia jamaa...
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Wakuu,
Kwa mwanzo huyu jamaa hakueleweka sana alipoingia wasafi tofauti na alipokuwa yamoto. Hata mimi sikuwa namkubali Sana wala kumfuatilia sana ila nimekuja kuona na kugundua huyu ni msanii...
Licha ya kutokuwa na majority share pale mjengoni, ni dhahiri kuwa Diamond Platnumz ndiye C.E.O na Managing Director (M.D)
Maulid Kitenge amenukuliwa mara kadhaa akimwita Mkurugenzi katika...
Habari Wana bodi,
Maisha ni watu na bila watu hakuna maisha,lazima watu waongelewe,wajadiliwe ndiyo maisha yenyewe. Ukiwa Famous, super star,n.k lazima utajadiliwa lakini Kuna watu humu utasikia...
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.
Jelaous ya Alikiba...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile...
Tokea hawa waimbaji mashuhuri wa mnanda wafariki hakika mnanda nao umeenda zake ,ladha na utamu wa mnanda umepotea ..Wameondoka mapema Sana ikiwa fani bado inawahitaji.
1.Juma Mpogo lupozi "seven...
Uhali gani mwana JF?
Binafsi nimetokea kumjua Marioo tangu 2017 alipotoa wimbo wake wa Bure. Nikawa shabiki wake ila japo hakuanza kuimba rasmi ila alikuwa akitungia watu tu nilitamani atoe...
Chris brown and others are mourning the loss of their tattoo artist, Trigz Lokz .
Michael Christopher Pebley was shot and killed on Thursday afternoon, In Touch reports.
He was gunned down as a...
Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove rafiki wa zamani wa wemasepetu, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana...
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?
Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni...
Inakuwaje wanaJF!
Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars...
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu...
Huyu mdada anaitwa Tina Rogat Yuko insta almaarufu 'Umelala Yoooo' yani nampenda mno mpaka naumwa Ana macho mazuri mnoooo halafu Ana sura flani ya aibu ya kike naomba muuskrinshot ujumbe huu...
Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa
Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya...
Joyce wowo Jana alijua kuturusha roho wanazengo, mxiee ila Kati ya Kiki zote zilizoboa hii Joyce wowo umebugi, Kiki ya kishamba, Event yenyewe haijabamba kihivyo . Yani uwoya sio siri Mungu...
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no...