Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.
Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)
Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga
Kwanini...
Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha...
Katika mtandao wa Twitter umeibuka mzozo mkubwa kati ya baadhi ya wanaharakati na wanachama wa upinzani dhidi ya Tuzo zilizoanzishwa na kijana aitwaye Kennedy Mmari. Wengine wamefikia hatua hadi...
Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda...
Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na...
Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye...
Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi...
Natafsiri: Je, Abby Chams ni Vee Money (Vanessa Mdee) ajaye?
Tunakumbuka Vanessa wakati anaanza muziki, alikuwa anajitafuta sana hadi akajipata.
Aliingia kwenye game na uzungu mwingi (no pun...
Mcheshi asiyepungukiwa na utata maishani Eric Omondi kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumapili alitoa wito kwa wanamuziki wa Kenya watie bidii zaidi kazini huku akidai kuwa sekta ya...
Mzuka Mwanajamvi!
Ajali ya ndege binafsi (Private jet) iliyosababisha Kifo cha mwanamziki wa country music kutoka Brazil imepelekea mshtuko mkubwa sana Brazil na nchi za Latin.
Marilia Mendonca...
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki...
Inabid Diamond amuajiri Mama yake kama mmoja wa ma manager wake, Naona ma ma manager wake hawajui kazi yao , ila huyu bibi ana kisebengo Jaman , kujikurupusha huko kumvaa shilole vepee wakati hiyo...
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa...
Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini...
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level...
G.morning everyone,
Me ni big fan wa hip-hop ya bongo, na katika research nlioifanya hii ndo list yangu ya MA mc bora wa muda wote waliowahi kutokea hapa Tanzania
1) Professor J,
Huyu jamaa...
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya...