Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.
Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao...
Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri.
Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz...
Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz.
Akiwa...
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC...
Samahani wadau mwimbaji wa nchini Uganda aliyetamba Sana na wimbo wa TINDATINE Kuna mtu kaniambia alikufaga ni kweli au? Naomba msaada mwenye kujua
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums...
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya.
Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum...
Wana JF,
Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha...
Huyu Ex wa V nae siku hizi kashaanza kuwa mdangaji, huyu si nasikia kwao pesa zipo, hata music anafanyia hobby tu sio kama Ana njaa sana kama akina Domo Au ndo fix tu na yeye njaa tu kama wasanii...
MAJOR ALEX GWEBE NYIRENDA, SHUJAA ALIYEPANDISHA MWENGE WA UHURU JUU YA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO SIKU YA MKESHA WA UHURU WA TANZANIA BARA, HATUNAYE TENA.
HABARI ZILIZOINGIA SASA HIVI TOKA KWA...
Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube .......
Ushauri wangu watanzania tuhamasishe...
Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu.
Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
Song: Nimekata ringi
Artist: Montra The Future ft Ruby.
Yaeaah
Aaah
Verse 1 (Montra)
Siku hizi sikai home, navunga mageto/
Nimechoka maisha ya kihome, kutishiana beto/
Pocket money ni...
Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine.
Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni...
Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta...
Leo nimepata sehemu nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima
Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
"Nimemuona pia Konde Boy Tembo hapa (kwenye orodha ya Wasanii waliotoa burudani) na kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo, Kwa vikundi vyote vingine vilivyopanda hapa jukwaani kwa Burudani...
Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha.
Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili...
Wana JF
Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii.
Leo katika viwanja vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.