TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Mama Mzazi wa Luludiva amefariki.

Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021.

Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na amekuwa akimuuguza kwa miaka mingi.

Mwili wa mama Mzazi wa Lulu diva kuagwa juma pili tarehe 19/12/2021 majira ya saa 10 jioni katika hospital ya Lugalo jijini Dar es salaam.

Baadaye utasafirishwa kwenda Handeni, Tanga kwa ajili ya mazishi yatakayo fanyika juma nne desemba 21,2021

Mazishi ya Mama Mzazi wa Lulu diva yanafanyika leo huko Handeni, Tanga

R.I.P mama Lulu diva
 
Back
Top Bottom