Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

Kungarochi

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
271
569
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali.

Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo.

Nimeshangaa sana kiki yake ya kutoka kimapenzi na msanii wake Zuchu kuto trend na kuzima faster kama moto wa mabua, wasafi Bet nayo inapumlia mashine, Media yake haina content za kutosha zenye ushawishi imekuwa local local local.

Tukihamia kwenye kazi yake ya mziki ndo hamna kabisa anachoimba siku izi kwa mwaka mzima katoa nyimbo zaidi ya tano na zote zimezima zimekosa tension kwa mashabiki pamoja na kuzi-promote kwa nguvu lakina hazifiki kule tunapotarajia kwa kwl inasikitisha sana.

Angalizo kama mashairi yameisha kichwani ni bora atafute mtu wa kumtungia nyimbo maana anaimba utopolo mtupu. Au awekeze nguvu nyingi tu kwenye biashara zake izo zingne ambazo nazo kiuhakika zinapumulia mashine so ili kutopoteza nguvu na mtaji alowekeza kwa mda mrefu.
 
Thread za kumsahau Diamond zilianza tangu 2012..na leo ni 2021 ..huyu mtu kashindikana Muacheni tu... hata Waah mliidis haitofika kokote
Ww mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
 
Ww mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
Mimi sishuhudii uwongo,,,Ngoma 5 hizo zipi zilizobuma? Diamond ana consistency ya hali ya juu sana... Unataka kusema Iyo imebuma? Naanzaje nayo imebuma? ..huyu jamaa hawezekaniki... Kaanza kudisiwa tangu 2012 uko kua hatoboi
 
Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
 
Raha ya mleta uzi ni kuona diamond anashuka
 
Chanzo cha stress za mtoa mada...usha solve hiz shida zako kwanza?
IMG_20211228_084502.jpg
 
Ww mwenyewe na shuhuda je huoni kama diamond huyu siyo yule tuliyekuwa tunamfahamu wa miaka miwili iliyopita.
Diamond wa kutoa nyimbo zaidi ya tano kwa mwaka mmoja na zote ziangukie pua, inasikitisha.
Umetumia vigezo vipi kusema hivi?? Mbona huko utubu na streaming platforms zote anakimbiza!!
 
Nyimbo zote ulizotaja hapo zote zimebuma huwo ni ukweli usio na chuki ndani yake period.
Umetumia kigezo gani?

Je ana streams ngapi?
Je kapiga show ngapi?
Nomination mwaka huu anazo ngapi?

Atleast ungebase huko tungepata picha halisi. Ila sio mbaya hii ya jamaa kutabiriwa kushuka, hii thread nahisi itakuwa ya 100,tokea 2012 mnatabiri ila endelea kutabiri.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom