Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano.
Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna...
Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny ameacha maswali miongoni mwa shabiki zake kwenye mitandao tofauti ya kijamii.
Hii ni baada ya kusema kuwa anateseka kwenye chapisho lake la hivi punde ambalo...
Kuna mwamba kutoka Mbeya anaitwa Chikumbalanga. Mwaka wa 2018-2020 ilikuwa boom kwake. Alijizolea umaarufu na akaanza kupata matangazo ya kibiashara.
Mabeberu wakambrand, akawa hot mjini. Lkn leo...
Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria...
Nyumba ya mama yake ya kijijini kwao Muheza ndio chanzo cha Madongo , wadai ni duni kuliko bata alizokuwa anakula DSM .
Hii ni baada ya wasanii wengi kuhudhuria mazishi ya mama yake aliyefariki...
Michael anatajwa kuwa moja kati ya watumbuizaji bora zaidi kuwahi kutokea hapa duniani,lakini pia watu wengi humfahamu kama mwanamuziki aliyekuwa na visa vingi zaidi duniani.
Moja kati ya sifa...
Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale...
Ili uwe msanii mkubwa inahitaji uwe na uwezo mkubwa tu wa kuimba, wafuatao ni wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuimba na kuperfom live hapa Tanzania...hii ndiyo Top 5....
1) Chistian Bella...
Ukweli usemwe Msanii Lava Lava ni mmoja ya wasanii chini ya WCB waliokuwa wanapitia kipindi kigumu sana tangu ajiunge ndani ya WCB!
Lava lava amekuwa na bahati mbaya sana kutoka kwa mashabiki...
Msanii Clayton Chipando maarufu kama Baba Levo amesema kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ametunukiwa "Phd" ya heshima ya Afya, Siasa, Sanaa na Burudani na Chuo cha City College of Health and...
Stori: Jelard Lucas
HILI ndiyo Risasi bwana! Sikia, kama ulikuwa hujui ni kwamba msanii mkongwe katika filamu za Kibongo, Ruth Suka Mainda ameibuka na kueleza mengi ikiwemo kutoa mimba ya mpenzi...
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?
Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama...
Wana JF
Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na...
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na...
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''
count on...
Mwaka umeisha tayari hivyo hatuna budi kuangalia yale ya nyuma pia.
Kwa sekta ya burudani dj ni muhimu Sana hivyo ni vyema kutambua mchango wao kwa kuwataja popote pale walipo..
Kwangu mimi ni...
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali.
Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila...
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling...