Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kitu ninachojaribu kukifikiria haraka haraka ni kuhusu hatima ya huyu jamaa yake Diamond ambae ni dj wake,Maana kila shoo sasahivi D anafanya na live band kitu ambacho ni habari mbaya sana kwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Aisee, huyu mwamba nini kimemzeesha ghafla namna hii?
3 Reactions
75 Replies
12K Views
Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi. Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda amewatupia dongo wale wote wanaoshinda mtandaoni wakifuatilia kauli na maisha yake kwa ujumla.. Badala ya kulialia hovyo waende kufanya kazi.
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Alisema mwisho wake wa kutukana itakuwa 31 Desemba 2018, watu wakajua kuwa mange atakufa ila kumbe laa ni ataacha udomokaya wake. Shekh wa watu amepiga dua za kutosha mange akaanza withdraw...
8 Reactions
43 Replies
9K Views
Hali gani? Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya stars Bongo hasa wa muziki kufilisika mara baada tu ya ku hit kidogo, mpaka kupelekea watu wengi kudhani undergrounds wa Bongo wengi wana gundu. Sasa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Uchawa huu aisee. Alianza Baba Levo akadai angekua mwanamke angemzalia Plutnumz mitoto mitatu. Sasa imehamia kwa Diva, katika moja ya post zake leo amedai Diamond ni Mungu wake wa pili. "Mungu"...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Together with my Pastoral team, I took the COVID - 19 AstraZeneca Vaccine at RFH Health Care in adherence to Government and Medical recommendations for clergy and frontline workers as we combine...
30 Reactions
100 Replies
16K Views
Prof. J. Mzee wa Mitulinga leo ndani ya 360 amekili kurudi mchangani alikotoka baada ya kuiambia 360 kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani zile singo zilikuwa cha mtoto. Profesa huyo ambaye...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini...
16 Reactions
454 Replies
31K Views
Ni kupitia wimbo wake "Many Men" ambapo rapper 50 cents anasema. " In nightmare niggas keep pulling tecs on me . Psychic says some bitch dumb PUT A HEX on me" Akimaanisha " katika ndoto zangu...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Muziki wa Rhumba leo umepata pigo baada ya Mkongwe wa Muziki huo Defao kufariki Nchi Cameroon Sisi watu wa Tandika na Temeke kwa ujumla tutakumbuka sana kibao chake cha FAMILY KIKUTA ambacho...
9 Reactions
147 Replies
21K Views
Najua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI...
3 Reactions
103 Replies
13K Views
Mwanamuziki namba moja Africa kwa sasa ambaye pia ni mfanyabiashara level za millionea Nasibu Nyange Abdul almaarufu Simba au Diamond Platnumz anakamilisha kuzindua club yake yenye hadhi ya...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Mimi Ni mfuatiliaji mzuri sana wa muziki hasa hasa muziki wa Bongo Fleva na hip hop. Kwa hapa Tanzania wapo wasanii wawili ambao wametamba Sana kwenye muziki toka enzi hizo mpaka leo hii bado...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Diamond anataraji kudondosha EP yake kesho yenye kifupi cha #FOA ambapo kirefu chake bado kitendawili hadi ifikapo kesho huku ikiwa imenakshiwa na rangi ya orange. Ikumbukwe mara ya mwisho...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom