TANZIA Mwanamuziki Francoise Lulendo Matumona (General Defao) afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,119
Muziki wa Rhumba leo umepata pigo baada ya Mkongwe wa Muziki huo Defao kufariki Nchi Cameroon

Sisi watu wa Tandika na Temeke kwa ujumla tutakumbuka sana kibao chake cha FAMILY KIKUTA ambacho tulikicheza sana miaka ya 90 kwenye ukumbi wetu wa IIMASCO CENTER uliokuwa Karibu na Uwanja wa Taifa (sasa Benjamini Mkapa), ambako DJ MAKAY na Mkongwe Jerry Kotto walikuwa wakivurumisha Disco hadi Asubuhi

Natumai watu wote wapenzi wa rhumba watasikitika sana kutokana na kifo cha mfalme wa IKIBINDA NKOI .

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake Mahali pema peponi , Amina .

======

Congolese musician General Defao dies at 62

Lovers of Congolese music are mourning the passing of popular Congolese musician Francoise Lulendo Matumona popularly known as Genaral Defao.

Defao was an accomplished singer, composer and stage performer. He also awed his fans with his great dance moves especially during the Ndombolo and Ekibinda Nkoi era.

Defao passed away at 69 after a brief illness while he was on a tour in Cameroon.

Reports reaching Swala Nyeti desk indicate that Defao died on Monday night at Laquintinie Hospital, Douala where he was rushed in critical condition.

Three days ago, the congolese crooner retired to his room after a performance when became unresponsive forcing the police to break the door before rushing him to the hospital

Unconfirmed reports from other sources say Defao may have succumbed to Covid-19 related complications.

General Defao debuted in 1976 in a small music group in Kinshasa. Growing up, he has musically inspired by Congolese musicians such as; Papa Wemba, Nyoka Longo, Gina Efonge Evoloko of the Zaiko group in the 70s.

He formed his own band, The Big Star in 1991, aiming at becoming an African star to shame his enemies. He has over 20 songs to his name, famous among which are; Sala Noki, Familie Kikuta, Animation, Nadine, Bolingo among others.

Defao was an accomplished singer, composer and stage performer. He also awed his fans with his great dance moves especially during the Ndombolo and Ekibinda Nkoi era.

Defao who made Kenya his second home was found himself in trouble with the law after his Nairobi promoter varnished into thin air leaving him with a huge hotel bill.

The bill accrued to Sh600,000 prompting the Palacina Hotel management to unceremoniously throw him our and saw the singer charged in court with fraud.

Defao who at the time was struggling with the English language languished in Nairobi's Industrial Area prison for six months following the saga until a well wisher bailed him out.

After his release, Defao stayed in Kenya for eighteen years until 2019 when he returned to Congo.
20211228_032724.jpg
20211228_032659.jpg
20211228_032652.jpg
20211228_032647.jpg

20211228_032445.jpg
 
sitaki tena baba wangu
Unihurumie eeh kabisa
Nilishakuwa muke wa watu
Siwezi tena kuruudi kwako
Kwani sikuona kitu ya lazimaa kwako

Koza wangu baba unihurumie
Wema wangu leo utajurisha
Sitaaki tena koza
Kama ni kuoa oa mwingine mie siwezi
Kama ni watoto fika kwetu koza
Utawaona utawaona

Usifike kwangu utaleta fujo na mpenzi wangu
wa sasa tulitaraka na wewe bira kuleta vitu kwetu
Tena nakuteswa Juu uniulumie

ooh koza ha ha ha ha
unaikalia tu politiki ASUBUHI na MAPEMA yoote kazi hautaki kufanya
UTAKULA nini

Ohkoozaa ohkooza
ilpaswa kwako kaka yangu nilikuvumilia ukweli
Kikombe moja kushona kushona na kuendelea koza wa baba
Kuona ni wewe kila mwezi na pesa yake wewe

Asubuhi na mapema birika ya chai ya maziwa
Ooh koza najenga mwili wangu

Usifikee kwangu koooza babaa
Kwani ni wewe wakunifukuza kwako
Sasa wananiona unanifata kwakuwa mzuri

oooh ooooh oooooh mpenz wangu

BASOLINAA mungate CHAKULIMBALA BASOLINAA mungateeeee

hilo DUDE koza halafu kuna MADOVA halafu kuna lile SLANOKI bila kusahau SAM SAMITANGA alipeform kwenye KORA afrca mpka akavua shati watu wote mikono juu mpk Mandela mwenyewe sio mchezo mtu MNENE mwepesi LE GENERAL DEFAO
 
sitaki tena baba wangu
Unihurumie eeh kabisa
Nilishakuwa muke ya watu
Siwezi tena kuruudi kwako
Kwani sikuona kitu ya lazimaa kwako

Koza wangu baba unihurumie
Wema wangu leo utajurisha
Sitaaki tena koza
Kama ni kuoa oa mwingine mie siwezi
Kama ni watoto fika kwetu koza
Utawaona utawaona

Usifike kwangu utaleta fujo na mpenzi wangu
wa sasa tulitaraka na wewe bira kuleta vitu kwetu
Tena nakuteswa Juu uniulumie

Ohkoozaa ohkooza
ilpaswa kwako kaka yangu nilikuvumilia ukweli
Kikombe moja kushona kushona na kuendelea koza wa baba
Kuona ni wewe kila mwezi na pesa yake wewe
Asubuhi na mapema birika ya chai ya maziwa
Ooh koza najenga mwili wangu
Usifikee kwangu koooza babaa
Kwani ni wewe wakunifukuza kwako
Sasa wananiona unanifata kwakuwa mzuri

unaikalia politiki ASUBUHI na MAPEMA kazi hutaki kufanya
BASOLINAA mungate CHAKULIMBALA

hilo DUDE koza halafu kuna MADOVA halafu kuna lile SAM SAMITANGA alipeform kwenye KORA afrca mpka akavua shati watu wote mikono juu mpk Mandela mwenyewe sio mchezo mtu MNENE mwepesi LE GENERAL DEFAO
Daah aiseee.... umetisha sana.
 
Mume yake alimuuzishia "kikwembe" moya(nguo,gauni,kitenge) na waliishi bhote?
 
Back
Top Bottom