Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake...
22 Reactions
1K Replies
124K Views
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063] Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa...
10 Reactions
252 Replies
22K Views
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza. Kiufupi wasanii Kama hawa...
10 Reactions
48 Replies
7K Views
Wakuu natumaini mu wazima. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naomba mwenye CV ya hawa wadada wa Daresalaam atupe. Kijuu juu Masha Love ni dancer mwenye nyonyo nzuri lakini ni balozo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Actually ni tatizo kubwa, mtu ana miaka 40+ lakini hakui, anagombania Uteeneger na wanae. Kibaya zaidi anajifunika kwenye Mwamvuli wa ulokole, ukiangalia Mienendo yake na Ulokole anaojipambanua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Bora limekufa lile lienda kuzimu 😂😂😅😆
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanamitindo maarufu instagram kama @leavemaryalone amechukua headlines mara baada ya kulalamika kufanyiwa kitendo cha kutolewa na kushushwa kwenye usafiri wa ndege kutokana na ukubwa uliopitiliza...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
ameandika hv kutoa shukrani "Alhamdulillah tumeruhisiwa me and my baby we're both fine... wale wote waliotaka kuja hospital tutakua hatupo , nashukuru kwa walio kuja pia sana wapenzi... nashukuru...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Wiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Foby... Huyu jamaa ana ngoma kali.. yaani zotee ni konki ukiongeza na hii ya juzikati "niokoe "..sema jamaa hapewi promo kubwa.. Ibrahnation.... Huyu jamaa katika watu ambao hawana bahati ni...
4 Reactions
72 Replies
11K Views
Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa...
15 Reactions
22 Replies
4K Views
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
2 Reactions
771 Replies
111K Views
Depp awarded $10M, Heard $2M in split libel lawsuit verdict By DENISE LAVOIE FAIRFAX, Va. (AP) — A jury awarded Johnny Depp more than $10 million on Wednesday in his libel lawsuit against...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka...
10 Reactions
104 Replies
13K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake katika kesi ya kusambaza...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Huyu dada yuko wapi? Nimesikia tangazo Clouds FM kwamba anatafutwa mara ya mwisho alionekana Mikocheni, kunani?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna uvumi kwamba wasanii wengi hawatoboi kisa wana management mbaya. Sasa kwa msanii mondi ambaye mameneja wake wana manage wasanii wengi kama Tale( Madee, Janjaro, Shaa) na Mkubwa Fela( Chege...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha. Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi. Akiitwa kwa ajili ya interview haendi...
4 Reactions
150 Replies
27K Views
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo. Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini. Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako...
9 Reactions
158 Replies
53K Views
Hapa kwa ma legendary wenzangu wa miaka ya 80’s-90’s,nyie wa 2000 hii haiwahusu kabisa,mwaweza pita tu. Vuta picha uko zako ghetto enzi hizo unaskiza ngoma kama -this one I promise you ya...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom