Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
**Hongera Madam
😅😅😅Joke ya mwaka
Mavi ya kuku!!Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
Vipi kwanza lile duka la nguo za watoto alilopewa asimamie na dada ake limeishia wapi??
😂 Jumlisha na offer za hovyo hovyo kuwapa watoto wa rafiki zake.Lile duka lilikuwa linauzwa Huku watu wanashushia na Kilimanjaro asubuhi mpaka jioni litadumu kwelii??
[emoji23] Jumlisha na offer za hovyo hovyo kuwapa watoto wa rafiki zake.
Tusubiri hiyo mall.