Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi. Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald...
10 Reactions
62 Replies
15K Views
WANAMUZIKI WA TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE NOVEMBA 2022 1. diamondplatnumz 2. @OfficialZuchu 3. @rayvanny 4. @harmonize_tz 5. @mbosso_ 6. @realjaymelody 7. @Marioo_Tz 8. @mavokali_ 9...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu. Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Boss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu. "Naanza kuchaji Tsh Milioni...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani. Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao. Ni...
36 Reactions
280 Replies
131K Views
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu...
8 Reactions
79 Replies
9K Views
Jarida la Forbes limemuondoa rapa na mfanyabiasnara Kanye ‘Ye’ West kwenye orodha ya wasanii mabilionea, baada ya mkataba wake na kampuni ya mavazi ya Adidas kuvunjwa leo. Kanye amebaki kuwa na...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani. Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa...
27 Reactions
41 Replies
12K Views
Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
November 25,2022. Mahakama moja nchini China imemhukumu mwanamuziki wa zamani wa kundi la K-pop Kris Wu kwenda jela miaka 13 kwa kosa la ubakaji Mahakama hio ya Beijing ilisema amehukumiwa miaka...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za mda huu wanajukwaa Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo Kama Kuna yeyote...
10 Reactions
143 Replies
8K Views
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya...
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana. Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada...
20 Reactions
156 Replies
17K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie...
7 Reactions
82 Replies
11K Views
Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama, Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Rashid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni. Kwasababu Wamenifuata zaidi ya...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Ndani ya ndege kwenda Qatar
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…