Mr Ttouchez: Nikipata tatizo lolote mhusika Chidi Benz

Kingo Janta

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
308
172
Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama, Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Rashid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni.

Kwasababu Wamenifuata zaidi ya Mara Nne au Mara Tano Kutaka Kunifanyia Fujo Na Kunipiga Lakini Walishindwa Kutokana Na Mazingira Jinsi Yalivyokuwa.

Kuna Siku Kulikuwa Na Shughuli ya Zuchu Mlimani City, Ilikuwa ni Mahaba Ndindindi Hii ndio Ilikuwa Sababu Ya Kila Kinachoendelea Sasa Kati Yangu Mimi Na Yeye, Tulipishana Kauli na Chid Benz Kwasababu ya Yeye Kunifwata zaidi ya Mara Tatu akiniomba Nimpatie elfu Hamisini. Na Nilipokataa Zaidi ya Mara Tatu Alitoa Maneno Machafu Round Ya Nne Ambayo Mi Nilkuwa Naelekea Toilet.

Baada Ya Hapo Tulitupiana Maneno Kibinadamu Nilishindwa Kuvumilia Kuona Mtu Ambaye Namjibu Zaidi Ya Mara Tatu Kwamba Sijabeba Pesa Anaanza Kunitolea Majibu Mabaya, Nadhani hiyo ni Sababu amenitafuta Sana Kunifanyia fujo. Yeye akiwa Na Wenzake zaidi Ya Sita.

Leo Wakati Natoka Ofisini Sinza Palestina Nimewaona Wakiwa Wamesimama Kwenye Kijiwe fulani Karibia na Palestina Hospital. Baada Ya Mimi Kupita Walinifwatilia Nadhani Walinifuata Taratibu Lakini Kwasababu Nilikuwa Natembeza Gari Kwa Kasi Kidogo Wakashindwa Kunifikia, Cos Wao Walikuwa Na Bajaji Na Palikuwa Hapana foleni ya Kutisha.

So Niliweza Kupita Nikafika Sehemu Ambayo Nilikuwa Naenda. Lakini Sio Mara Moja Wala Sio Mara Mbili Huyu Mtu Ananitafuta Na Lengo Lake Kubwa Anataka Kunidhuru.
Nashtaki Hapa Kama ni Ukurasa Wangu Ambao Kila Mtu Anaweza Kumpa Taarifa Mwenzie Kwasababu ya hii post.

Lakini Pia Ikiwa Ni Kama Sehemu Ya Mimi Kujiweka Salama. Kwasababuu Nimeshindwa Kwenda Polisi Usiku huu. Kutokana na Kilichotokea So Sina Amani Ya Kunitosheleza. Kwa Hiyo Ikitokea Chochote Kibaya Juu Yangu. Anayehusika Ni Rashid Makwilo almaarufu Kama Chid Benz.

Nimefanya hivi Sio Kwasabbu Nashindwa Kumdhibiti. Kumpiga au Kufanya Kitu Chochote. Bali Naomba Sheria Ishike Mkondo Wake. Kwasababu Nimesikia ni mtu ambaye anajihusisha na Vilevi Vikali. Pia Inasemekana Kwamba Anatumia Madawa Ya Kulevya Japo Mimi Sina Uhakika. Lakini Nipo Hapa KwaajiliYa Usalama Wangu Binafsi.
FB_IMG_1669296118549.jpg
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
49,272
86,055
Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama,Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Radhid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni,Kwasababu Wamenifuata zaidi ya Mara Nne au Mara Tano Kutaka Kunifanyia Fujo Na Kunipiga,Lakini Walishindwa Kutokana Na Mazingira Jinsi Yalivyokuwa.

Kuna Siku Kulikuwa Na Shughuli ya #Zuchu Mlimani City, Ilikuwa ni Mahaba #Ndindindi Hii ndo Ilikuwa Sababu Ya Kila Kinachoendelea Sasa Kati Yangu Mimi Na Yeye, Tulipishana Kauli na Chid Benz Kwasababu ya Yeye Kunifwata zaidi ya Mara Tatu akiniomba Nimpatie elfu Hamisini,Na Nilipokataa Zaidi ya Mara Tatu Alitoa Maneno Machafu Round Ya Nne Ambayo Mi Nilkuwa Naelekea Toilet.

Baada Ya Hapo Tulitupiana Maneno Kibinadamu Nilishindwa Kuvumilia Kuona Mtu Ambaye Namjibu Zaidi Ya Mara Tatu Kwamba Sijabeba Pesa Anaanza Kunitolea Majibu Mabaya,Nadhani hiyo ni Sababu amenitafuta Sana Kunifanyia fujo,Yeye akiwa Na Wenzake zaidi Ya Sita.

Leo Wakati Natoka Ofisini Sinza Palestina Nimewaona Wakiwa Wamesimama Kwenye Kijiwe fulani Karibia na Palestina Hospital,Baada Ya Mimi Kupita Walinifwatilia Nadhani Walinifuata Taratibu Lakini Kwasababu Nilikuwa Natembeza Gari Kwa Kasi Kidogo Wakashindwa Kunifikia,Cos Wao Walikuwa Na Bajaji Na Palikuwa Hapana foleni ya Kutisha.

So Niliweza Kupita Nikafika Sehemu Ambayo Nilikuwa Naenda,Lakini Sio Mara Moja Wala Sio Mara Mbili Huyu Mtu Ananitafuta Na Lengo Lake Kubwa Anataka Kunidhuru,Nashtaki Hapa Kama ni Ukurasa Wangu Ambao Kila Mtu Anaweza Kumpa Taarifa Mwenzie Kwasababu ya hii post.

Lakini Pia Ikiwa Ni Kama Sehemu Ya Mimi Kujiweka Salama,Kwasababu Nimeshindwa Kwenda Polisi Usiku huu,Kutokana na Kilichotokea So Sina Amani Ya Kunitosheleza,Kwa Hiyo Ikitokea Chochote Kibaya Juu Yangu,Anyehusika Ni Rashid Makwilo almaarufu Kama Chid Benz.

Nimefanya hivi Sio Kwasabbu Nashindwa Kumdhibiti,Kumpiga au Kufanya Kitu Chochote,Bali Naomba Sheria Ishike Mkondo Wake,Kwasababu Nimesikia ni mtu ambaye anajihusisha na Vilevi Vikali,Pia Inasemekana Kwamba Anatumia Madawa Ya Kulevya Japo Mimi Sina Uhakika,Lakini Nipo Hapa KwaajiliYa Usalama Wangu Binafsi. View attachment 2426227
Kwetu Sisi Mkoani Mara ( Musoma ) ni Aibu mno kwa Mwanaume mwenye Mwili mkubwa kama huyu Pichani Kulia lia na Kumshtakia Mwanaume Mwenzake Mitandaoni hivi?

Kumbe ndiyo maana hata Siku hizi Mashoga ni Wengi tofauti na Enzi zetu ambako Wanamume Kamili ndiyo tulikuwepo na sasa tunazeeka na Usela na huu Ugumu wetu vile vile.
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,987
3,051
Nikimkumbuka Chidi yule miaka ya 2000s anajiita Benzino jamaa alikuwa balaa Kkoo ilala ukimzingua anakiwasha hatari siku hizi kachoka dah unga achana nao kabisa.
Aliwahi kumtwanga jamaa na washkaji wawili Club moja sikumbuk kina ilikuwa junction ya jamhuri na mkwepu ilipo Azam ice cream floor ya juu watu baadae wanajua ni Benzino kila mtu kamwacha maana alikuwa mtata hatari
 

Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
1,334
3,071
Touchez unazingua , Chid Guta ndio anakutisha? Kwanza rafiki zake watukuwa type za chid huyo huyo mateja!!
Mkuu ni heri ukawa na bifu na bondia au mcheza karate au mfanya mazoezi yoyote Yule kwani mtaishia kupigana au kupigwa na case ikienda mbali sana ni polisi na kila mtu anarudi uraiani salama

Usidharau na wala usitake kabisa bifu na wala unga au mateja, hao hawana ugomvi wa kupigana ngumi kusema mtapanga speringi mpigane au wakupe nafasi ya kujipanga siku ingine

Bifu na mateja waga lina njia ya mkato tu, na wengi wanapotea kutokana na hizo dharau kama zako, Teja yeye anajua fika Hana uwezo wa kukupiga ata Kofi, atakimbilia kisu/panga au akutoboe toboe na bisibisi

Kumbuka wakati yeye anafanya hilo ni tofauti na mtu mwenye Akili timamu ambae anafikilia nini kitatokea badae, yeye anafanya hilo akiwa hajui nini kitatokea badae ata kama utakufa kutokana na shambulio lake ye hajali

kutokana na dharau kama hizi zimefanya wengi wamepoteza maisha yao au kupata ulemavu wa kudumu au ata kutumia gharama kubwa sana kwenye matibabu ilhali huyo Teja ata afungwe gerezani ye hana alichopoteza

Ni rahisi sana kwao kumpoteza mtu Kwa hela ndogo sana na wengi wanapotea kutokana na kuwadharau kwamba hawawezi kuwafanya chochote, wakishapewa uhakika wa kupata madawa ya kulevya ata kama ni elf 10 tu hawataki kujua kosa lako wala hawataki kujua we ni Nani

Alichofanya Mr touch ni sahihi sana tena zaidi ya sahihi na atakuwa kaambiwa ukweli na watu wanaowajua mateja vizuri, cheed itambidi arudishe majeshi nyuma kama ni kweli kisa hiki ni cha kweli, si polisi wala mwanajeshi anaeweza kukulinda dhidi ya teja hao jamaa kwenye matukio waga Wana speed of light
 

periodic table

Senior Member
Apr 2, 2019
168
429
Ukipigana na Teja utaonekana hauna akili...

Muungwana akivuliwa nguo huchutama..

Kitu alichofanya T_touch ndio anavyotakiwa afanye mtu yeyote mwenye akili timamu..

Kwa afya yako na uwezo wako chid si mtu wa kukutishia maisha lakini kwa vile wewe ni muungwana umechagua njia hii..

Wewe ni mtu wa pekee Sana na umekua tofaut na vjana wa umri wako ambao hupelekeshwa na mihemko
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,863
16,682
Wabongo wengi wana akili kama za huyu Chidi Benzi, wanapenda sana kupanga bajeti kwa hela za watu. Hoo nipe Elfu hamsini, hoo nina shida ya Elfu ishirini, hoo nipe laki. Ukisema sina ujue ndio ubaya unaanza hapo. Wabongo sijui tukoje!
 

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
3,212
4,155
Kwetu Sisi Mkoani Mara ( Musoma ) ni Aibu mno kwa Mwanaume mwenye Mwili mkubwa kama huyu Pichani Kulia lia na Kumshtakia Mwanaume Mwenzake Mitandaoni hivi?

Kumbe ndiyo maana hata Siku hizi Mashoga ni Wengi tofauti na Enzi zetu ambako Wanamume Kamili ndiyo tulikuwepo na sasa tunazeeka na Usela na huu Ugumu wetu vile vile.
Achana na hilo ling'ombe, mwanaume pambana mpk dakika ya mwisho kmmk
 
13 Reactions
Reply
Top Bottom