Master J ndio Godfather wa hili game japo yeye hapendagi kabisa hizi debates, anaona zinampotezea muda tu haoni umuhimu wa kuitwa legend wala mambo ya kupewa heshima. inshort hapewi kabisa heshima...
WATU PORI - USINICHUKIE
Afande sele.( Verse)..
"inshallah kama umenisamehe
Kama bado basi Ewallah
Yote namuachia Allah
Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/
Anatupenda Sawa sawa...
MATUMAINI:
katika mambo yanayokwamisha mtu kuweza kuendelea ni pale anapokutana na changamoto mbalimbali za maisha hasa pale unapokuta unashindwa kufikia malengo uliyoweka kwa wakati,hali hii...
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na...
DAZ BABA - ELIMU DUNIA.
VERSE.. ( AFANDE SELE)
We ni mfungwa sasa 'si mtu huru/
Ukilalamika sana utakuwa kama unakufuru/
Tu..!!
Lazima ujue sisi ni vifaranga na maisha ni kama mwewe/
Mama yetu...
BREAKING NEWS: X Influencers React to Hilda Baci’s NLP Testimony Ahead of March 13 Conference at Tafawa Balewa Square
LAGOS — Social media platform X (formerly Twitter) erupted in debate this...
Ukitoa Dar ni majiji gani mengine yana kumbi za cinema atleast Kila weekend WATU wanaweza jipoza.
Aya Kwa music wapi UNAWEZA sikia Kuna burudani ukiacha bar za mbagala kule atleast kama ni music...
Hello.
Msije kusema na wasema watumishi wa bwana.
Ila Tupo hapa kwa ajiri ya kujenga na jf ni sehemu pekee mtu anaweza kupata picha ya mambo ya watu wengi wasioyajua.
Kuna rafiki yangu mmoja...
Nimeanza kufuatilia Muziki huu wa Hip Hop hapa Bongo kwa kipindi kirefu sasa nimeshihudia list kubwa sana ya wasanii wanaofanya Muziki Aina ya Hip Hop wakiwa wanaonekana kwenye muonekano wa kuvaa...
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa (akiwemo...
Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette)
✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao...
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki...
CREW YA KWANZA UNIT .
waanzilishi wa "Kwanza Unit" ilikuwa ni Muunganiko wa makundi matatu makuu ya hip-hop kwa kipindi hiko.
Makundi hayo ni kama ifuatavyo..
1. Villain Gangsters
2. Raiders...
NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Verse ..1 ( mc koba)
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na...
KAZI YAKE MOLA - MADEE
Madee Seneda amefunguka na kudai siri ya wimbo wa kazi yake mola kufanya vizuri mpaka sasa ni kutokana na kutuliza kichwa wakati anaandika mashairi yake tofauti na vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.