BAADA YA AY KUONYESHA RANGE ROVER LAKE,BUKUKU NAYE ATAMKA MANENO HAYA.
Evan Bukuku ni Msanii wa Vichekesho vya Stand-up commedy akiwa na Kundi La VUVUZELA ENT.
"Kweli uchekeshaji si kazi ndogo...
Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond...
porojo za bongo
"kaka maisha magumu hayaeleweki?
"hayaeleweki na hautayaelewa
"kwanini unasema hivyo kaka?
"kwasababu hayaeleweki
"sijakuelewa kaka unani acha mbali?
"lazima nikuache mbali sababu...
Hii ni orodha ya wanamuziki wa kiume Tanzania waliotazamwa zaidi YouTube kwa muda wote, ambapo wasanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na rayvanny wameongoza.
1. Diamond Platnumz 2.2B
2. Rayvanny...
Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya...
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William wa msondo ngoma Machi 29, 2017.
Marehamu Moshi William alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya jumatano majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa...
Salam wakuu,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha hawavumi lakini wamo cha itv. Huwa naenjoy kuangalia vipaji mbalimbali chipukizi, pia huwa naenjoy sana uchambuzi wa huyu bwana.
Anaonekana...
Ni kweli Mwenyezi Mungu kaibariki nchi hii kwa kila kitu ambacho hata ukienda dunia ipi sidhani kama utakikuta (naongea kwa uzoefu wa kusafiri na kukaa nje)
Imagine nchi ina Mbuga za wanyama...
Habari Wakuu!
Leo Kwa habari za Burudani na Sanaa, nimekuwa nikifuatilia Tamthilia za hapa na pale za bongo kama sehemu ya kusapoti na kuona kile wakifanyacho wenzetu katika Tasnia hiyo...
Jioni kama hii ungekuepo ningekua napitia posts zako mpya au comments zako za habari za mjini, habari zenye mafunzo aka umbea wenye afya
Nilikuaga najichekea mwenyewe ila kila kicheko na...
Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli ...
Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k.
Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza...
Habari wanajamvi,
Leo nimemkumbuka kijana aliepata ajira EATV kupitia auditions za kiushindani na hatimaye akapata ajira na kuanza kipindi cha SKOOONGA!
Ni kijana mbunifu kwa kweli, kutokana na...
Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani .
Show hiyo ilihudhuriwa pia...