Wakili wa Ashraf Hakimi: Hiba atapaswa kulipia gharama za kesi na kugawana 50/50 ya mali anazomiliki

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,485
99,209
Wakili wa Hakimi kwenye kesi ya talaka na mkewe Hiba Abouk anayejulikana Kwa jina la Barry Roux kupitia official account yake ya Twitter amesema:

"Hakimi kwa sasa hana mali yoyote kwa jina lake, mkewe Hiba Abouk ambaye ni muigizaji atapaswa kutoa mgao wake. Kisheria Hiba ni tajiri kuliko Hakimi, hivyo atapaswa kulipa gharama za kesi na pia kugawana 50/50 ya mali zake zote anazomiliki."

Pia gazeti la intelregion limeripoti kwamba, "Ashraf Hakimi anajipanga kupata mgao wa mali baada ya kutalikiana na aliyekuwa mkewe Hiba Abouk."

Source: Twitter, gazeti la intelregion
Screenshot_20230417-213735.jpg
20230417_213744.jpg
 
Kwenye interview na intelregion

Wakili uyo kasema pia
"Hiba anamiliki Kisheria asset zenye thamani ya $mil 6 Kutokana na kazi yake ya uigizaji, Kias ambacho ni mishahara ya miez 2 tu ya ASHRAF HAKIMI pale PSG,

Ila Kisheria ASHRAF HAKIMI anapaswa kupata mgao wa 50/50 wa $mil 3 Kutokana na ukwasi huo wa aliekua mkewe"
 
Back
Top Bottom