Kuna mtu anasema Godzilla alikuwa Overrated. Kwa mawe hayo kweli Zizi alikuwa Overrated?

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
Ngoma kali za Godzilla.

1.SALASALA
2.X
3.GET HIGH
4.Mama Made It
5.Stay
6.Thanks God ft Walter Chilambo
7.Hard Work ft Chege
8.Kila Wakati ft G.Nako
9.Lakuchumpa ft Joti
10.Sonia ft Juma Nature
11.Your Body ft Mauwa Sama
12.First Class ft Mwasiti
13.Happy Birthday
14.Kingzilla ft Marco Chali
15.Nataka Mkwanja
16.Milele ft Alikiba
17.Get off my way
18.Stay Remix ft Nikki Mbishi.


Kuna mtu anasema Godzilla alikuwa Overrated. Kwa mawe hayo kweli Zizi alikuwa Overrated?

Na hapo sijataja kama zile alizoshirikishwa.

1.GiDDY one minute ft Zilla,Young Dee.

2.Game Inavyochange with Madee.


NB. Ngoma ya Stay na Kila wakati


R.i.p Godzilla...Msalimie Cowbama...
 
Kuna ngoma yake inaitwa THE SAME sijaiona hapo kwenye list yako..

Ni unyama mwingi sana mle kaufanya King Zilla na ni very good reminder kwa wale hustlers tulioanza kutoka chini!

hata kama ni star, najulikana kwa kitaa (what'up).. I'm supposed to be the same..
haijalishi ninapokaa, mfukoni nina pesa kadhaa (what'up).. I'm supposed to be the same
 
Back
Top Bottom