Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu..
Mungu huwainua wachache kati ya kwa kila taifa, ukoo hata familia.. Huwainua...
Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri.
Shida inakuja kwa hawa vijana...
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since...
Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote!
Ila hivi majuzi...
Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye...
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona...
Wakati Diamond Platnumz alikuwa na miaka 17, alifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba na kuuza mafuta kujaribu kuweka akiba ya kumwezesha kurekodi studio, lakini haitoshi. Hatimaye mwimbaji huyo...
Wizkid au Star boy imethibitika anatoka
kimahaba na rafiki karibu wa familia ya Kim Kardashian aitwae Justin Skye
Wizkid amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa...
Hatimaye ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wa muziki Tanzania pamoja na ukanda wote wa Afrika Mashariki imewadia.
Tuzo hizi kwa mwaka huu zimepata msisimko mkubwa na hamasa ya mashabiki...
Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini...
Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA...
Kwani watu ombaomba na wanafki ila huyu doto magari amezidi.
Huyu jamaa akishajua upo vizuri kipesa basi tegemea kila utakapokutana naye lazima akuombee hela usipompa tu kosa, lazima akakutangaze...
Hiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata.
Gharama zisizo na ulazima, ukiongeza hayo madirisha ya grilli na aluminum katika eneo ambalo lina...
Ukizungumzia waimba taarabu wa kike wenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni basi Fatma Mahmoud Nyoro maarufu kama Fatma Mcharuko ni namba one.
Waimba taarabu wengi wanapata shida kugandamizia/ kuimba...
Habari za wakati huu wadau wa jukwaa hili.
Nilikuwa napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie.
Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea...
Hatimaye mfalme wa taarabu Alhaji Mzee Yusuph ametangaza rasmi ujio wake kwa mara nyingine kwenye muziki wa taarabu.
Kwa kifupi tangu mfalme akae nje ya muziki wa taarabu , muziki wa taarabu...
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye...
Kuna ubishi wa chini chini kati ya hawa mabinti wawili machachari ambao ni zao la Jahazi Modern taarab chini ya aliyekuwa mkurugenzi wao mfalme Mzee Yusuph ,je yupi ni mkali zaidi kuliko...