Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu. Haiingii...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kazi ya sanaa ni kufikisha ujumbe, kuburudisha, kuonya na kadhalika, lakini mi sielewi kuhusu hiki kipindi kipya kilichoanza juzi kuonyeshwa kwenye channel pendwa ya Maisha Magic Bongo DStv...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya kufunga Ndoa iliyohudhuriwa na Mastaa mbalimbali nchini, hatimae Manara ampeleka mkewe kwa familia yake (Ukaribisho). Kwenye ukaribisho huo Mke wa Manara amepokelewa na Mama Mkwe, Mawifi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha! We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare...
8 Reactions
44 Replies
11K Views
Aise kwangu mimi PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini, ● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi ● Wachambuzi...
1 Reactions
10 Replies
931 Views
Msanii anaetamba na kibao cha "Mapozi" alicho washirikisha Jay Melody na Mr Blue msanii Diamond Platinumz, amewataka wapinzani wake waongeze juhudi maana hawamsumbui kabisa. Kupitia ukurasa wake...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
1: Adam Sandler 2: Jim Carrey 3: Will Ferrell 4: Nick Swardson 5: Katt Williams
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Playboi Carti out in LA Last night for a studio session with Kanye West.
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
PlayboiCarti appeared on Adin Ross stream last night for 10 minutes. They had a $2 million agreement that Carti would show up and talk about his new album. But because he didn't fulfill the...
1 Reactions
2 Replies
771 Views
Machawa siyo watu jamani. Hapa Diamond angetia neno tu Harmonize angerudi Mtwara kubangua korosho.
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Stream soon part 2, the right way for the fans.. All questions will be answered.
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Japokua ile video imefikisha viewers milioni moja lkn ile picha yenye mfanano wa kimahaba kati ya Alikiba na Nandy imefutwa Makachero wanadai nenga wivu ulizidi kiasi...hata kama ni mimi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alianzia kuonekana pale Times Fm lakini wakubwa hakuwashawishi kumpa kipindi kikubwa hawakuridhika na kiwango chake. Baadae akatimkia Wasafi FM akapewa kipindi cha Block 89 akafeli kipindi kikafa...
25 Reactions
63 Replies
11K Views
Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa kidogo tuwekana sawa. Wanasema kwenye pick yake The Late Albert Mangwair alikuwa mkali sana wa freestyle yani mitindo huru. Na sifa kuu alikuwa na uwezo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶 Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Alikiba ni...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Waswahili wanasema "Pesa ni Sabuni ya Roho" na wengine wanasema "Pesa ndio furaha ya kweli". Rapa Rick Ross amedhihirisha hilo baada ya kuvunja Mjengo wake wenye thamani ya $35M sawa na Bilioni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
7 Reactions
118 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…