Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Hii kali soma ka screenshot chini.... Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema...
1 Reactions
160 Replies
11K Views
Bruce Jenner really gave me the inner strength to admit to my kids, my family, my friends, my fans and ultimately to myself that I am gay.I've known I was gay since I was a young boy that I was...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Naandika hii thread ikiwa ni, saa kumi usiku ambapo ifikapo sa 1 asubuhi baadhi ya team ya WCB-WASAFI,tutaenda nchini kenya... ni CEO mwenyewe,Diamond,mlinzi wake binafsi Dj,Dancers wote na...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Bill and Melinda Gates are amongst a few committed to making the world a better place. I am always moved by their desire to create a polio free world, tackling issues that relate to women and...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu. 1. Adam Mchomvu... Bro rudi...
27 Reactions
265 Replies
25K Views
A report is spreading quickly on Facebook and Twitter that famed rapper Tupac Shakur is shockingly "alive and well" in New Zealand, 15 years after he died. This is of course false. Tupac died in...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps...
1 Reactions
7 Replies
617 Views
Source: 'The Apprentice' contestant sparks race row The half-Iranian contestant on the BBC business reality show caused outrage after she requested a white person star in a sportswear advert...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa...
2 Reactions
104 Replies
16K Views
By J. M. Kavuma-Kaggwa - June 20, 2009 The greatest news of this century from East Africa is that the Catholic Church has started the canonisation process which will culminate in the Pope...
0 Reactions
163 Replies
26K Views
Jamani nimesoma hii leo from UK's newspaper, Suge Knight akiongelea kuhusu Tupac baada ya 'kuonekana' akiperfom na Snoop pamoja na Dr Dre majuzi huko USA. Tupac could still be alive, according to...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Staa wa nyimbo za kibongo ambaye pia anatamaniwa na waume wengi, Snura a.k.a Mamaa Majanga amewaudhi Baraza la Sanaa la Taifa kwa video yake ya Nimevurugwa, jambo ambalo limewafanya kupiga...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
By Sangu Joseph Leo nimekikumbuka kisa kilichonichekesha baada ya kukutana na wimbo wa Aslay Rudi Darasani hasa kile kipande ambacho video vixen anatamba kwamba alienda kuwaona wageni, Akiwa...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Redirect
Hii hutokea kwa nadra sana na tena kwa wasanii wachache tu wenye ngekewa zao. Kama ni soka, basi Darassa amepiga hat-trick. Kama Utanipenda, Too Much na Muziki ni nyimbo zilizobadilisha upepo...
6 Reactions
Replies
Views
Kweli mjini mipango! Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amefunguka kwa kusema kuwa baada ya kusambaza mtandaoni picha zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu na mng’ao wa mafuta, sasa amepata dili ya kuwa...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Ngoma ya Msanii Roma Inayoitwa Mimi ni Nani haijafanya vizuri kama ilivyotarajiwa au ilivyotanguliwa na ile ya Nipeni Maua yangu Je shida ni nini? Amekosa content au style ya ngoma yake hii ya...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwimbaji na Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace . Picha 4: Kutoka kwenye ukumbi inapofanyika harusi ya Rapper Profesa J na Mke wake Grace .
7 Reactions
52 Replies
10K Views
Pongezi Bongo Celebrities kwa wimbo wa ‘Mboni Yangu’ ambaO ni maalum kwa msanii Sajuki anayesumbuliwa na ugonjwa. Hongera wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha wimbo huu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu? Habari za Kitaifa Mamia wampokea Kikwete...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
'Kung Fu Panda 2' becomes highest-grossing film directed by a woman by John Young Categories: Animation, Box Office, Movie Biz Comments 25 Add comment...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom