'Mpakwa mafuta' Ben Pol alamba dili nono kutoka kampuni ya mafuta ya kujipaka

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,880
6,367
Kweli mjini mipango!

Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amefunguka kwa kusema kuwa baada ya kusambaza mtandaoni picha zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu na mng’ao wa mafuta, sasa amepata dili ya kuwa balozi wa mafuta ya kujipaka na kwa sasa wapo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo.

Namnukuu, “Hapa sasa hivi tunaongea kuhusu majukumu yangu kama balozi, nione nina show ngapi katika hiyo event na mambo ya maslai inakuaje, nione matangazo ya runinga na mabango na nijue amount ya kazi yote ilivyo ni kiasi gani ninaweza kunufaika. Tukifikia muhafaka watu wataniona kwenye mabango, nimekoleza mafuta nimeweka na logo za hiyo kampuni,” mwisho wa kunukuu.

I must admit; This is brilliant! I didn't see it coming at all..

Wasanii ibukeni na mbinu mbadala za kuvutia kampuni za biashara mpige pesa aisee.. Alianza Ray na ishu ya Maji akalamba pesa, kaja Ben Pol na kupakwa mafuta naye anatia saini punde, who's ready to be next?

Scratch yo' head pals!
 
Mbna kma alijipaka mafuta ya kusafishia bunduki
 
Ray, alisifia maji akapata dili, Gigy amezoea kujiacha nusu utupu akapata dili ya chupi za cassandraHaomorappa alikimbia bastola akapata dili la kinywaji chenye nembo ta swala, huyu nae akipata dili ni safi tu, tusubiri msanii mwingine aibuke na kituko chake.
 
Back
Top Bottom