Jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa Fiesta now anaisifia! angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua
SUGU VIDEO
Nadhani ndio movie inayopigiwa promo sana hapa bongo kwa muda huu. Kwanza nimpongeze Kanumba, kaicheza vizuri.
Halafu kuna sura mpya mpya nyingi nadhani ananyayua vipaji. Wasanii akina swebe...
Jamani mimi nimetokea sana kumpenda dada huyu mwimbaji wa music wa injili, kwa jina ni Martha Mwaipaja. Sijui nifanyaje nijitwishe mzigo huo du naumia sana kwa kweli kila nikimuangalia simmalizi...
Zitto Kabwe: Am in Juba-South Sudan, Karibia hotel zote ni 'makeshift' hapa Juba. Baadhi ni containers. Mji umepambwa na picha za Garang. Ulinzi ni wa Hali yajuu sana. V8s, Hummers na Nissan...
Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki...
Last Thursday, the Internet was set ablaze by the passion that once burned inside Michael Jordan's teenage heart. Somehow, the site Letters of Note got a hold of a 1980 love letter from His...
Ten years of making Harry Potter films, by cast and crew
The actors, producers, directors and crew of the Harry Potter series tell Ryan Gilbey the inside story of the defining film...
JF, tangu jana nimeanza kutafakari upya juu ya report za Jerry Muro na kukumbuka umahiri wake katika kutoa habari bila woga, huyu jamaa ni shujaa kama kina Ndimara Tigambwage and Said Kubenea na...
Mwanamuziki 20 pasent amepata ajali ya gari mkoani kigoma baada ya tairi la gari hiyo aina ya noah kupasuka na gari kupinduka,msanii huyo na wenzie waliokuwa wakitokea kigomwa kwenda mwanza...
The guy is really talented kunako fani ya muziki, anatisha kwa kutoa nyimbo zilizotulia. Pia nampongeza kwa kampeni zake dhidi ya mauaji ya albino chini ya kampuni yake Afrobino Ltd.
Cheki...
http://youtu.be/j5-yKhDd64s
The music video starts with the hook playing over the intro lyrics. Well focus on the hook further on, but for now lets take a look at the intro lyrics:
Yeah...
Ricky Martin: 'I hated it when people tried to force me to come out' The Puerto Rican singer talks about his struggle with his sexuality, his happiness at having finally come out and...