Lulu sasa alia kuchafuliwa

Status
Not open for further replies.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Lulu sasa alia kuchafuliwa
7384.jpg
Miss Lulu
KALUNDE JAMAL, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za Bongo mwenye umri mdogo na mambo makubwa, Lulu amesema kuwa anaumizwa na vyombo vya habari jinsi vinavyomuandika vibaya.

Lulu anasema magazeti humuandika kwa kumchafua na si kumkosoa na hayamsaidii wala kumjenga.

Aliongeza kuwa yeye ni binadamu kama wengine hivyo anahitaji heshima na kuwa na uhuru wa kufanya kile anachoamini kitamfurahisha kwa wakati huo.

"Mimi si malaika hivyo kuna kipindi napenda kwenda kwenye burudani kama watu wengine lakini nikifika huko ndipo napata mikasa ya kuandikwa vibaya, naomba mnirekebishe si kunichafua zaidi," alisema Lulu.

Alifafanua kuwa akiwa kwenye matembezi yake ya kawaida kama kwenye kumbi za starehe na kubadilishana mawazo na marafiki hapendi kufuatiliwa kwa kuwa anahitaji kuwa mtu huru kama wengine
 
Haka katoto kanachuja kila siku kudadadeededeki......na hayo makucha inaonekana hajiswafi vizuri sehemu zake za siri.....atakuwa anatema
 
dah kuna jamaa angu anakamega haka katoto......ila kana pozi si mchezo
 
mtoto chuchu saa 6...

Zimetepeta ebu chek fresh nafikir ni za saa 12

Haka katoto kanachuja kila siku kudadadeededeki......na hayo makucha inaonekana hajiswafi vizuri sehemu zake za siri.....atakuwa anatema

dah kuna jamaa angu anakamega haka katoto......ila kana pozi si mchezo

sijui ana umri gani sasa hivi,ujanja mwingi mbele kiza..
watu wengine bana, mimi nimemleta huyu mtoto ili mumshauri..matokeo yake mmeiba na ngoma na magitaa ya bendi kabisa
 
Mkuu, nadhani ungebadili thread yako kwamba labda mshaurini Lulu au vinginevyo, lakini ilivyokaa sidhani kama lengo lake ni kutaka ashauriwe. Hata hivyo kuna tatizo la kuanzisha discussion ambazo ziko nje ya mada humu, hili sijui mods wanalichukuliaje?
 
sacred-heart-e1276372090314.jpg akitaka aishi kwa bila kusemwa amrudie muumba wake hivi kwanini yeye tu kila kukicha, tuseme tz nzima yeye ndiye anaye vutia kwenye vichwa vya habari vya magazeti
 
Lulu sasa alia kuchafuliwa

7384.jpg

Miss Lulu

KALUNDE JAMAL, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za Bongo mwenye umri mdogo na mambo makubwa, Lulu amesema kuwa anaumizwa na vyombo vya habari jinsi vinavyomuandika vibaya.

Lulu anasema magazeti humuandika kwa kumchafua na si kumkosoa na hayamsaidii wala kumjenga.

Aliongeza kuwa yeye ni binadamu kama wengine hivyo anahitaji heshima na kuwa na uhuru wa kufanya kile anachoamini kitamfurahisha kwa wakati huo.

"Mimi si malaika hivyo kuna kipindi napenda kwenda kwenye burudani kama watu wengine lakini nikifika huko ndipo napata mikasa ya kuandikwa vibaya, naomba mnirekebishe si kunichafua zaidi," alisema Lulu.

Alifafanua kuwa akiwa kwenye matembezi yake ya kawaida kama kwenye kumbi za starehe na kubadilishana mawazo na marafiki hapendi kufuatiliwa kwa kuwa anahitaji kuwa mtu huru kama wengine
Michelle Obama, Salma Kikwete, and other First Ladies wanafuatiliwa sembuse wewe uliyevunja ungo kabla ya nyakati zako, jitazame mwenyewe achana na kutupia vyombo vya habari lawama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom