Bishanga wa 'Mambo hayo' kapotelea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bishanga wa 'Mambo hayo' kapotelea wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by POMPO, Mar 14, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Eti yule Bishanga wa kkundi cha mambo hayo, cha kitambo itv, kapotelea wap? Mwenye isue atujuze!
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mara ya mwisho alikua anafanya kazi db shapriya na alikua site foreman wakati wanarekebisha kiwanja cha ndege cha mafia. ila jamaa yupo sana sema kaacha fani yake yuko kwenye payroll ya wahind
   
 3. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bishanga aliyekuwa anaigza kwenye mambo hayo yuko wapi nowdays na anafanya nini?
   
 4. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nilimuona wiki 2 zilizopita akiwa kwenye meza benki ya kcb posta.
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  bishanga bishaija, waridi, aisha na n
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamaa walifanya vzuri lkn kipindi chao. Ni mojawapo ya waliofungua/paisha tasnia ya uigizaji tz. Mwenye kufahamu walipo na wanachofanya waigizaji wote kundi lile kwa sasa tafadhali amwage hapa tujikumbushe.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ili iweje?
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yupo, married, employed and ejoying his life

  at least he is in good hands
   
 9. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  Bocha na sumbi.sumbi yupo norvege sikuizi anapiga box
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bishanga yuko DSM, mara ya mwisho nilikutana naye pale Tume ya Usuluhishi na Uhamuzi-CMA akiwasaidia wenye mashitaka kujaza fomu za kupelekea mashitaka; kwa ujumla si kumwelewa kama sasa hivi ana fani ya Sheria au la! ila kimuonekano alikuwa yuko poa, kama enzi hizo za mambo hayo akiwa na Rich wa Richie.
   
Loading...