Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habari zenu Nimeanzisha facebook fan page ya hii show niipindayo sana so wale wote mashabiki wa hii show naombeni muingie muigongee like. ' Asanteni Link: How I Met Your Mother Fan Page | Facebook
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dada Lucy, Nakupa shavu kwa ku-promote Tanzanians (bongo Movies) kwenye DSTv. Lakini, nina Machache kuhusu quality of these films. Kwanza kabisa, kiingereza ambalo ni tatizo kubwa sana kwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
kigezo anachotumia lundenga kwenye miss Tanzania lazima miss ajue english,mbona miss world wa sasa kutoka Venezuela ajui english,je tz tunakosea kutumia kigezo cha english tu?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Camilla gets the Royal tattoo (but don’t worry, it’s only henna)The Duchess of Cornwall is not one for alternative fashions - but it looks as though her trip to Africa has brought out a...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
1. Jack Bauer huyu ni mzee wa matukio waliocheki 24hours watakubaliana na mimi ni mtu aliyejitoa sana kwa nchi yake kama kuna taarifa anaihitaji kutoka kwako ataipata kwa namna yeyote ile. 2...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamaa yumo kumbe..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=N21aByP_Qlc&feature=player_detailpage http://www.youtube.com/watch?v=N21aByP_Qlc&NR=1
0 Reactions
0 Replies
2K Views
huyu jamaa sindiye yule mzee wa movie!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
INASEMEKANA KUWA CLOUDS IME HACK ACCOUNT YA ADILI MKWERA NA KUANZA KUANDIKA MESSAGE KUWA KAJITOA KAMA HIVI Adili Mkwela KUANZIA LEO NAJITOA KATIKA HUU USENGE WA ANTI-VIRUS KWASABABU SISI...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
kama utaki kimpango wako
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kama unaujua mziki,tena si unafiki, huwez kusheherekea miaka 50,bila kumtaja nguli wa music hip hop tz mheshimiwa joseph mbilinyi,kwani alifanya kazi ya ziada na hata kuu utangaza muzik ndan ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimemuona Muumin kwenye uzinduzi wa Twanga Pepeta uliofanyika pale Leaders, nae ni mmoja wa waimbaji wa Twanga, je huyu jamaa si alikuwa na bendi yake? nini kimempata na mbona anaonekana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata...
0 Reactions
106 Replies
17K Views
Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Our one and only miss TZ who managed to reach top five in Miss world, Nancy Sumari is expecting... Congrats Nancy. Pichani Nancy akiwa na "mshirika kibiashara" Ally Rehmtula.
0 Reactions
55 Replies
22K Views
Joe Frazier, one of the biggest sports icons of the 1960s and 70s, passed away tonight from liver cancer at the age of 67. He was diagnosed less than six weeks ago and spent his final days in a...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi. Chanzo kiliendelea...
1 Reactions
138 Replies
36K Views
Nawasalimu wote hasa wale wenye moyo wa huruma na upendo kwa wenzetu wahitaji. Nimekwenda Muhimbili Jana kwenye Wodi ya Mwaisela namba 1. Lengo langu lilikuwa kumjulia hali Msanii wa Komedi VENGU...
5 Reactions
65 Replies
13K Views
Nimeinyaka kutoka kwenye chanzo kiaminifu kwamba JIDE kule Ufaransa amepandikizwa mimba kwani hana uwezo wa kushika kwa njia ya kawaida, kitaalamu wanaita Artificial insemination, yaani mbegu za...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…