Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa...
Full mapenzi! Feza na oneal,Nando na Selly,Hakeem na cleo ..... na kila mmoja wao alisema ana mtu uko alipotoka je wamejisahau au ni mazingira ya kukaa ndani yanawafanya hivyo.
na hiki ndicho alicho kiandika
Ommy Dimpoz
Samahani tena sana na sitawacha
kuomba msamaha,nimekubali
makosa na hivi sasa naelekea
nyumbani kwao kuomba msamaha
kwa familia na nitue kwa vituo vya...
Jeremy Stoppelman
Company: Yelp
Age: 34
Hometown: Arlington, VA
Fun fact: Stoppelman has a dog named Darwin.
David Karp
Flickr/edans
Company: Tumblr
Age: 26
Hometown: New York City
Fun fact: He...
Mandojo Na Domokaya acheni uchoko, kama hamkutoka na ulbum yenu ya 2004. Basi tena coz sioni umuhimu wa FA kua meneja wenu wakati ni mtu mlianza nae muziki back in days. What went wrong with...
Na Herieth Makwetta
Mwanamuziki Hamis Mwinyijuma, maarufu Mwana FA amepata wakati mgumu kwa kulazimishwa na mashabiki kutaja jina la Lady Jay Dee baada ya kuliruka jina hilo alipokuwa akiimba...
Mda kidogo umepita sijasikia taarifa yeyote kuhusu ile kesi hewa aliyofunguliwa lady jaydee,naiita kesi hewa kwa kuwa mshtakiwa mwenye bado hajasomewa shtaka lake mpaka leo kama sikosei,ila...
Afande Sele The'King
Ukisoma historia yangu kupitia
WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna
sehemu wameandika kuwa
nilishawahi kushinda tuzo za kili
wakati si kweli zaidi katika historia
yangu yote ya...
Katika makala hiyo Saleh ameliangalia vuguvugu la Joto Hasira linaloendeshwa sasa na Lady Jaydee dhidi ya kituo kimoja cha radio nchini na kuliita ni la kinafiki. Hivi ndivyo alivyoandika na chini...
Hili jina sio geni kwa wale waliozaliwa miaka ya themanini huko,ni mkasa wa ukweli na wa kutisha,kufundisha,kuelimisha na kusisimua,mkasa huu ulikuwa unamuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa ASHA...
Ule ushoga wa mastaa wa kike bongo,wema sepetu na kajala masanja umefikia pabaya kisa kikidaiwa ni maneno ya wapambe wa wema.hivi karibuni wema alimlalamikia wazi wazi shosti wake huyo kuwa...
Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006..
Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi...
Wimbo mzuri,wimbo mzuri kama huu sidhani kama hata wafu FM wanaweza kuzuia usihit,kitu kizuri lazima ikubalike tu hata kama wenye maslahi watapinga.
Huu wimbo Proffesor kaonyesha anajua,level za...