Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
Niki/artist wa pili mwanafunzi wa masters UDSM na mkufunzi jokate mwegilo /modal wamekuwa wakionekana pamoja mara nyingi, na jana tu walikuwa pamoja coco beach. Kiukweli hatufahamu kinachoendelea...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
'Chocheeni kuni mbichi moto ukolee...... Unawaulizaje watu magongo ya ni nini wakati umesema kuna nyoka? Mjomba wewe uliwapaka wanja, ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kombolela iwe zamu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu hii tabia naona sasa inaeendelea hapa bongo kwenye music, maana vijana wanapenda sana mteremko na kutoka kwa kutumia migongo ya watu, sasa huyu jamaa anajiita JAY MASWAGGER, ame copy huu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sijasikia promo za wasanii watakaotumbuiza ujio wa obama apa tz
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtu maarufu ungependa sana kukutana nae na neno moja ambalo ungependa kumwambia 1. Zitto kabwe 2. Diamond 3.Ben pol 4.Dr slaa 5.AY 6. FA 7.Wema sepetu 8.JB 9.bell 9 10.shaa 11.Jonh Mnyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Au comedy imegeuka propaganda za kisiasa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
alikua akihojiwa kuhusu wimbo wake wa Obama, akaulizwa kwanini kwenye ule wimbo hajamtaja kikwete?. akajibu kwa mishauo kwamba alimuomba ruksa kikwete, alimfuata akamwambia nina wimbo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi sikutegemea kama unaweza kucheza kiduku kiasi kile. jumapili lazima nije kwenye show uloandaa pale maisha club. Leo umenifanya nifurahi sana. big up sana mkuu. mia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa kizaz kipya ambae anafanya vizur kwa sasa Diamond platnamuz, amesema kwamba yeye kama kwenda nje au kufanya shoo angekua anafanya kila siku.Diamond amesema kwamba lazima afanye...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Walikuwepo watu katika kadha na nyanja mbalimbali wakavuma sana ila leo hawasikiki tena unamkumbuka nani? Mimi namkumbuka dudubaya
0 Reactions
59 Replies
9K Views
mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
oh maii toto lina guu aisee....sio mnatuwekea michilizi ya wema sepetu hapa.....aisee angalieni toto hilo....very energetic,classic mtoto msaaafi aisee kansa ya koo hapo inakusamehe....mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Yaani wanandoa hawa walikuwa wanapendezana sana sijui ni mdudu gani aliingilia ndoa yao?je hakuna la kufanya kuwarudisha?na kwa anayejua ninini chanzo cha kuvunjika?jf ni jeshi kubwa tutapata...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Closed
Msanii Ommy dimpoz apigwa mawe na chupa kwenye show ya kili tour dodoma kwa kumdhihaki msanii aliyeipaisha dodoma,marehemu Albert Mangwea. Ommy dimpoz afukuzwa na Mashabiki Stejini. KTMA Tour...
0 Reactions
81 Replies
13K Views
  • Closed
nimeangalia video za nyimbo nyingi sana za mwanamuziki Judith Wambura aka Lady Jay dee lakini sijawahi kuona huyu dada akionyesha manjonjo ya kukatika huku akienda na mapigo!! pia nimebahatika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kupopolewa mawe na chupa kwenye show Dodoma,hiki ndicho alichosema
0 Reactions
19 Replies
2K Views
du kuna watu kwa ushabiki,wote ni wakali bhana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
rip nate doggy....maaaang this is maafaka hot......
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Aliyekuwa waziri mkuu wa italia silvio berlusconi amehukumis kifungo cha miaka 7 jela kwa kosa la kufanya mapenzi na binti wa miaka kumi na saba(17)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom