Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mara nyingi nimekuwa nikimuona kwenye ma blog akiuza uza tu sura naomba mnijuze ni nani hasa mwenye detailz zake occupation yake kaolewa? n.k
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Salaam, leo nilikua naangalia youtube compilation ya ma celebs wanapo wa surprise mashabiki wao either kutokea nyumbani kwao au kuibuka ghafla kwenye talk shows. Nimejikuta napigwa na butwaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAY C AMPA KIPIGO NORAPosted by GLOBAL on October 28, 2013 at 8:00am1 Comment 0 Likes Na Musa Mateja KATIKA hali ya kushangaza, siku chache baada ya kuripotiwa kupona na kuacha matumizi ya madawa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
http://nollywoodmagazine.com/2013/11/those-who-cant-afford-heineken-should-stick-to-ka-kai-mercy-johnson-hits-back-at-marketers.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni tanzania to lagos,skelewu vs ngololo. Diamond anatalajia kwenda Lagos week hii kuungana na Mwanmziki nguri Davido kishoot video mpya ya remix ya number one waliyoifanya Davido alipokuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Duh kama izi tetesi ni za kweli basi kazi tunayo akina kantupeni,tetesi zilizopo chini ya kapeti ni kuwa ile promotion inayotarajiwa kufanyika kesho na kesho kutwa na kampuni ya vodacom pale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu wimbo wa cheza cheza bila kukunja goti inaweza kua ndio wimbo mbovu wa mwaka kuanzia audio mpaka video haueleweki hata kidogo,hovyoooo....
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza, baba wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amempiga marufuku mama mzazi wa msanii huyo, Flora Mtegoa kutumia jina la...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni ukweli unajulikana kina Kim Kardashians walivyoanzisha kipindi chao cha kuonesha maisha yao hata wao hawakujua nini kitataokea mwisho na watu wengi mwanzo waliona kama ni 'sio reality show'...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila jumapili kuanzia saa tatu usiku na kuendelea,unapata nafasi hadimu ya kuimba nyimbo unayoipenda,unaweza kuimba na mpenzi wako kama ukipenda, kiingilio ni bureee ni miguu yako tu,ni pale pale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baby Madaha amemchana Shilole na kusema muziki wake ni wa vigodoro. Anadai yeye music wake ni classic. Baby anasema ingawa ana mafanikio kibao lakini hapigi kelele! "I dont make noise. Let success...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto Wakila Raha Ujerumani Frankfurt Wakiwa Ujerumani...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
comment on the image!
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Mjasiriamali na mwandishi bora wa riwaya za kusisimua nchini Eric james shigongo kwa mara ya kwanza katoa riwaya ya kusisimua inayoitwa A SAINT AND A GHOST ambayo inahusisha maisha ya vijana na...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Ninahisi kuwa clouds wanampango wa kuja na kitu/burudani ambayo inaweza kuwa karibu kabisa na show ya p square ili tu kuwaharibia jamaa wa EATV ili nao wabume kama wao walivyobuma. Hii ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The world's tallest man has married - and his new bride barely reaches his waist. At 5'8" Merve Dibo isn't a particularly short lady, but next to her giant groom Sultan Kosen, who looms at an...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua wapo wanaopita hapa watakufikishia taarifa. Nimepata kusikiliza Joto Hasira Remix ambayo umemshirikisha Mkoloni, Songa, na One The Incredible. Kusema ukweli hii Remix hujaitendea haki...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Sio kawaida kwa waislamu kuagwa sura ya mwisho na miili yao kuhifadhiw kwenye masanduku(majeneza) kama ilivyotokea kwa marehemu mzee sepetu.mzee alikuwa mkristo au swaga tu,maana mazishi ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kupitia account yake ya Twitter msanii Alaine ameandika hivi: Alaine Laughton Alainesinga "Tanzania I love you. The sound system however did not love me. The delay was so bad. Couldn't hear...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ingekuwa bongo TAAA zingezimwa then wadau wanajivinjari sintoshangaa ikitokea coz wengi wetu tumezoea kuiga ya wenzetu Hivi tabia ya kulamba koni/kuzama chumvini/..m...nduni mmeitoa wapi...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…