Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa...
lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix...
Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya...
Habari wazee.
Najua humu kunaweza kua na wataalamu wanaohusika na kushoot bongo movie au ata waigizaji wenyewe.
Nilikua na swali kidogo kuhusu hii sector.
Hivi kwa kawaida movie moja (Bongo...
habari wana jf,
kwa kuanza tu niseme kwamba tasnia ya sanaa ya maigizo hapa bongo, almaarufu kama bongo movie, imeshika kasi kwa umaarufu kwa kiwango fulani japo ina mapungufu ya ubora wake...
Hivi ni kweli kabisa BASATA wameguswa na milegezo ya Ney wa Mitego mpaka kumwandikia barua ya onyo,au kuna kitu kingine behind the scene??na Kama wameamua kufatilia maadili nadhani walitakiwa...
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na...
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo...
Yule dogo muoza meno toka atown,katimuliwa toka mtanashati baada ya kukacha shule na kuondoka kwenye getho alilopangiwa. Ni mara ya pili kwa dogo kutoswa baada ya kutoswa na madee mwaka jana.
Account hiyo ambayo imeungwa na mtandao wa facebook,kuna mtu kaiingilia nakupost kuwa kesho prof atakuwepo kwenye shoo ya leaders wakati sio kweli wala hawajaongea naye.Ameyasema hayo akiongea na...
Kwa mtizamo wangu , kama huyu jamaa akiamka vizuri kabisa siku ya fiesta hao ma international wataisoma namba!!! Akishusha hv vitu viwili tu kazi kwisha
NANI KAMWAGA POMBE YANGU !!
Amalizie na...
Music industry ya Tanzania ndio imemuangusha huyu mama?au kajiangusha?.....anafanya music safi sana....na music yake hauchuji!.....nadhani wadau wangepush musicians kama hawa kama kweli tuna nia...
Dah uwa nafuatiliaga sana hadithi za huyu jamaa,ila hii hadithi ya A SAINT & GHOST ni balaa,jamaa anaweza sana duh,Big up
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapa bado haijakamilika, ni stage ambayo kukamilika kwake inachukua siku kumi ikiwa inatengenezwa ni stage ambayo itakua na winch ya kupandisha wasanii kuja kufanya show, kutakua na screen za...
mademu lyrics by mpoki ft barnaba
Its talk of the time classic
Fish crab music lamar
Fish crab representing mpoki barnaba
Fish crab cook out
aaaah
(verse1)
Mwanamke lazima awe na sifa kubwa...
Niko sebuleni kwangu baada ya kuangalia channel makini nimejikuta tu leo kwa mara ya kwanza wacha niiangalie hii clouds tv.
Kwanza kabisa nakutana na Tamasha la Serengeti Fiesta sijui ni la mwaka...
Watu wanajiuliza kwanini Clouds inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa kuliko wasikilizaji wa radio stations zote. Jibu ni moja tu: ubunifu.
Kwa mfano, wakati Radio 1 bado wanapiga ma-jingle...
1.NEY WA MITEGO
huyu aliwahi kua mwizi wa mifukoni katika pilka zake za maisha maeneo ya manzese ila aliacha na kujikita kwenye muziki sasa anmudu maisha yake kw akazi ya halali
SOURCE
yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.