Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one.
Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa...
Hata kama sio shabiki wa diamond ila
kuna kitu lazima uwe kinakuvutia
kutoka kwake.Unaweza kujitahidi
kumchukia labda kutokana na skendo
zake za nje ya muziki wake ila ukirudi
kwenye muziki...
habari zenu wa jukwaa!!
bila kusita, naomba nitoe request kwa mzee wa sukari ya warembo, the platinumz, the number one of beatifullz afanye hili!
diamond, dini yetu inaruhusu kabisa kuwa na wake...
Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu...
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo...
Nadia Buari and Jim Iykes relationship has gone through many ups and downs and the latest is about Nadia deleting all pictures from her instagram page which involved Jim Iyke. Well, she has her...
This kid is indeed a genius, hii ngoma ni among my personal favorite kwenye album yake ya zamani ya Section 80.
Napenda zaidi hii verse anapokwambia:
Who said a black man in the Illuminati?
Last...
Ni dhahiri kuwa jina la Diamond
Platnumz linazidi kukua, kutoka
Tanzania hadi Afrika mashariki na sasa
Afrika magharibi baada ya kufanya
collabo na Davido ambayo bado
haijatoka, hii yote...
duh.. Ngoma kali mnoo..
Beat, lyrics, style ya kutapika rhymes,michano,
kijana amerudi vyema..
Haya blue na wengine tufungukieni siri ya hilo NGOMA KALI.
Nilijua wimbo huu utawamaliza...
Mwigizaji, muongozaji wa filamu na mmiliki wa kampuni wa filamu ya 5effects William Mtitu amepata bahati ya kuongeza idadi ya wanafamilia wake baada ya mke wake Jovitha Mtitu kujifungua salama...
Kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli.
Ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.
Mwambie...
Kifo cha Nyaisanga kinatukumbusha jinsi idadi ya watangazi mahiri inavyozidi kwisha na kubaki na kundi la vimeo. Watangazaji vimeo ni pamoja na,. .. Said Kilumanga, Kipanya Orest Kawau ( magic...
Baada ya kuwa na bifu na mmoja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa nchini marekani Oprah winfrey,50 cent akaamua kumpa mbwa wake jina la oprah,kama hiyo aitoshi akampa paka wake jina la gayle...
Mi nasema kuna waumini wamedandia hizi fani za muziki
nahisi next tym clouds mpange jinsi gani ya kualika sio kila mtu anaalikwa kuimba mtaalika wahuni
majuzi nikitoka kazini alishereheshwa jina...
Hemed Suleiman aka phd amefunguka kua eti yeye haringi bali ni swaga 2 na pia it seems watu wanaomdis wanamuonea wivu coz wana diploma wakati yeye anahold phd.
Pia kumbe jamaa alikua anataka...
One of the favourite faces in Nollywood, Osita Iheme, popularly known as Pawpaw, in a recent interview cleared the air on his relationship with Goodluck Jonathan, Nigerias entertainment industry...