Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu wa Ibara ya 149(2) ya Katiba, baada ya Rais kukubali tarehe hiyo. Amesema kwa maana hiyo, aliyekuwa Makamu wa Rais ataendelea kuwepo madarakani hadi Septemba 4, 2026, huku akieleza kuwa kumekuwa na...