Kombo, Mwanaharakati huru akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 15, 2026 Dar es Salaam
Hapa kuna nakala ya kile kinachozungumzwa kwenye video hii kuhusu mpango wa kuondoa wamachinga na...
Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo...
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake...
Ikiwa ni siku tatu toka afanyiwe upasuaji wa kuondoa sehemu ya pafu lake kutokana na kuwa na ugonjwa wa saratani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV anaendelea vizuri na leo...
Wanangu wa JF, kwanza kabla hamjaanza kunihukumu, naomba mjue kwamba leo nimefika hatua ambayo hata mimi mwenyewe nikijitambulisha naweza kujikataa! 😂😂😭
Yaani nimekaa hapa natafakari maisha...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo, Frank Rugwana, ametoa ombi kwa Mwanasheria wa Serikali, Wabunge na Watanzania kwa ujumla kuunga mkono mabadiliko madogo ya Katiba yatakayomwezesha Rais Samia...
Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia?
mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30%
#Welcome 2027
Habari za saa hizi ndugu zangu wapendwa habari za mihangaiko yenu, tafadhali ndugu zangu nimekuja kwenu Ninaomba msaada wenu Nina changamoto ya mahitaji nimepata changamoto ya Afya ndugu zangu...
Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume.
Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.