Pesa mfukoni inaongeza hiyo testetron (T) balaa, tafuta hela mtoa mada
Bank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.

PESA PEKE YAKE HAITOSHI. Wangapi wanahela na wanagongewa?

Burden of performance siku zote iko kwa MWANAUME hata demu akikaa kifo cha mende dk 90. Bado atatoka akasema huna NGUVU za KIUME

Ni either, uungane na SISI kugong hawa WANAWAKE au na WEWE uharibikiwe uanze kugawa NYUMA

Asante SANA kwa kusoma uzi huu NDUGU YANGU
 
Kwa namnagani ya uwezo wa kiasili uliyo sema hapo juu ambayo mwanamke anaweza kuja kwamba homoni zangu za kiume zimepungua?
HILO ni somo jipya kabisa ila kuna VERMo nasal maeneo ya puani ambayo yana kazi ya ku detect

NA TAFITI zinaonyesha wanawake walio kuwa exposed KWENYE WANAUME wenye kiwango kikubwa cha testosterone walibadilika na kuanza kuchukia WANAUME walio na kiwango KIDOGO cha T
 
Bank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.

PESA PEKE YAKE HAITOSHI. Wangapi wanahela na wanagongewa?

Burden of performance siku zote iko kwa MWANAUME hata demu akikaa kifo cha mende dk 90. Bado atatoka akasema huna NGUVU za KIUME

Ni either, uungane na SISI kugong hawa WANAWAKE au na WEWE uharibikiwe uanze kugawa NYUMA

Asante SANA kwa kusoma uzi huu NDUGU YANGU
Sawa tuwagonge
 
Mhh ngoja nianze kwa haraka na kwakifupi ili na wewe uione hii picha alafu uniambie itakuwaje huko mbele..

1.Idadi ya wanawake nikubwa kuliko wanaume
2. Kuna wanaume wasioweza kuzalishi
3. Kuna wanaume wengi wako jela na wengine ni vichaa tunawaoana huko njiani.
4. Kuna wanaume wasiokuwa na uwezo wakusimamia familia na kuiongoza
5. Kuna wanaume ambao wanashindwa kuwa na wanawake kutokana na matatizo ya kiafya (magonjwa shambulizi kwa wanaume)
6. Kuna wanaume wengine hata nashindwa niwaandikeje ila ndio hivyo inabidi tuu wao wameamua kuamia kundi la wanawake kwa kuwa mashoga.

Je hapo miaka ijayo itakuwaje kwa Jamii kama hakuta fanyika jitihada za kumuokoa mtoto wakiume ajitambue mapema kabla hajaaribika

Huwa nikiwaza Hali hii sioni Jamii itakuwaje kama idadi ya wanaume inazidi kupungua kwa kasi
umeandika point vizuri ila ukakosea kuandika kuwa wanaume ambao wana changamoto ya kuwa na mahusiano na wanawake wanakuwa mashoga, hapana
 
Siyo kweli kuwa wanaume wanaoshindwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wanageuka kuwa mashoga. Wapo wanaume wengi hawana mahusiaono ya kimapenzi na wanawake kutokana na sababu mbalimbali na wameamua kuwa single na kutojihusisha na mapenzi ya aina yeyote na wanayaweza maisha hayo
 
Maneno mengi ili kuficha ukweli!
Hii íliyo sema wanao firan&$ waacheni yeye anawahurumia na mwingi wa msamaha ni demokrasia??

وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Sidhan kama nimekuelewa vizuri, na kama nimekuelewa vizuri basi hiyo Aya uliyoiweka haitoi hukumu ya liwati (USHOGA) hiyo inazungumzia kwa wanaofanya faahisha (zinaa) baina ya wanaume na wanawake hao ndo wanatakiwa kuadhibiwa (mawe mpaka kifo kwa aliyeko kwenye ndoa, na viboko kwa asiyeoa) Ila wanaofanya ushoga ni kuuawa tu, ndo hukumu yake. Labda umecomment hiyo kitu bila kuielewa
 
Hacha kubisha mkuu hao wanaume wapo na wengi wanafamilia kuna siku nilikua naongea na dadapoa mmoja hivi alinifungukia vitu vya ajabu sana , anasema yeye amenunua hadi uume wa bandia kwaajili ya wanaume na anasema wateja wake wengi ni wanaume wenye wake zao ila hawafanyi hivyo vitendo kwa wake zao wanakuja kufanyiwa na malaya
Duh hatari sana aiseeee
 
Back
Top Bottom