Isaya J Elisha
Member
- Nov 8, 2016
- 23
- 33
Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIAVipi kuhusu tangawizi na asali na vitunguuswaumu?
Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIAVipi kuhusu tangawizi na asali na vitunguuswaumu?
NDIONdizi tano kwa siku
Bank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.Pesa mfukoni inaongeza hiyo testetron (T) balaa, tafuta hela mtoa mada
ASNTE SANA NDUGU YANGUMsipuuze kuna vitu vya maana kaviandika ingawaje na chai imo
HILO ni somo jipya kabisa ila kuna VERMo nasal maeneo ya puani ambayo yana kazi ya ku detectKwa namnagani ya uwezo wa kiasili uliyo sema hapo juu ambayo mwanamke anaweza kuja kwamba homoni zangu za kiume zimepungua?
URIJALI SIKU HIZI NI KAZI, WANAWAKE wengi siku hizi hawakazwi VIZURIKuwa mwanaume rijali siku hizi dili.. unavunja vitu tu vinajileta vyenyewe
Sawa tuwagongeBank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.
PESA PEKE YAKE HAITOSHI. Wangapi wanahela na wanagongewa?
Burden of performance siku zote iko kwa MWANAUME hata demu akikaa kifo cha mende dk 90. Bado atatoka akasema huna NGUVU za KIUME
Ni either, uungane na SISI kugong hawa WANAWAKE au na WEWE uharibikiwe uanze kugawa NYUMA
Asante SANA kwa kusoma uzi huu NDUGU YANGU
Wanaume hawali vizuri, hawafanyi kazi ngumu unategemea nini?Kumkaza mwanamke goli 4, 5 sio mchezo. Inabidi uwe umeshiba vizuriURIJALI SIKU HIZI NI KAZI, WANAWAKE wengi siku hizi hawakazwi VIZURI
Labda wanao ndio watakuwa mashoga sio MimiAsante kwa kusoma. Mfundishe boy WAKO asije akaolewa mikononi mwako
Je ukila usiku je? Si vibaya?Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIA
umeandika point vizuri ila ukakosea kuandika kuwa wanaume ambao wana changamoto ya kuwa na mahusiano na wanawake wanakuwa mashoga, hapanaMhh ngoja nianze kwa haraka na kwakifupi ili na wewe uione hii picha alafu uniambie itakuwaje huko mbele..
1.Idadi ya wanawake nikubwa kuliko wanaume
2. Kuna wanaume wasioweza kuzalishi
3. Kuna wanaume wengi wako jela na wengine ni vichaa tunawaoana huko njiani.
4. Kuna wanaume wasiokuwa na uwezo wakusimamia familia na kuiongoza
5. Kuna wanaume ambao wanashindwa kuwa na wanawake kutokana na matatizo ya kiafya (magonjwa shambulizi kwa wanaume)
6. Kuna wanaume wengine hata nashindwa niwaandikeje ila ndio hivyo inabidi tuu wao wameamua kuamia kundi la wanawake kwa kuwa mashoga.
Je hapo miaka ijayo itakuwaje kwa Jamii kama hakuta fanyika jitihada za kumuokoa mtoto wakiume ajitambue mapema kabla hajaaribika
Huwa nikiwaza Hali hii sioni Jamii itakuwaje kama idadi ya wanaume inazidi kupungua kwa kasi
Sidhan kama nimekuelewa vizuri, na kama nimekuelewa vizuri basi hiyo Aya uliyoiweka haitoi hukumu ya liwati (USHOGA) hiyo inazungumzia kwa wanaofanya faahisha (zinaa) baina ya wanaume na wanawake hao ndo wanatakiwa kuadhibiwa (mawe mpaka kifo kwa aliyeko kwenye ndoa, na viboko kwa asiyeoa) Ila wanaofanya ushoga ni kuuawa tu, ndo hukumu yake. Labda umecomment hiyo kitu bila kuielewaManeno mengi ili kuficha ukweli!
Hii íliyo sema wanao firan&$ waacheni yeye anawahurumia na mwingi wa msamaha ni demokrasia??
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا
(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Duh hatari sana aiseeeeHacha kubisha mkuu hao wanaume wapo na wengi wanafamilia kuna siku nilikua naongea na dadapoa mmoja hivi alinifungukia vitu vya ajabu sana , anasema yeye amenunua hadi uume wa bandia kwaajili ya wanaume na anasema wateja wake wengi ni wanaume wenye wake zao ila hawafanyi hivyo vitendo kwa wake zao wanakuja kufanyiwa na malaya
Si VIBAYAJe ukila usiku je? Si vibaya?
Boy WAKO ni mmeo/ boyfriend WAKOLabda wanao ndio watakuwa mashoga sio Mimi
Sitaki kufundishwa mambo ya kishenzi mimiBoy WAKO ni mmeo/ boyfriend WAKO
Acha kupaniki kitu cha KWANZA, cha pili hili sio Battle tunafundishana.
SASA WEWE KAZA KICHWA, kwasababu unafikiri nime kuatack
Kuvunjaje mkuuu sijakupata hapo mkuuu 😁😁😁Kuwa mwanaume rijali siku hizi dili.. unavunja vitu tu vinajileta vyenyewe