mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
siku nilipouza mechi corner bar
:shock: ikawaje tena mayenga pole sanaSiwezi kusahau siku ambayo nimechukua gari langu bandarini,wakati naelekea nyumbani nikamgonga mtu.It was a day fixed with different emotions!!
:shock: ikawaje tena mayenga pole sana
Thanx palVery sorry pal
Sintosahau nilipobikiliwa na mdada aliyenizi umri,aloo wakati nakitupa si nikatoa ukelele mpaka majirani wakasikia,alafu wakaja kukaa kwa nje ili waone anayetoka ni nani ilikuwa bonge la noma.
My mum left me when I was 6 yrs, and frm then I didnt see her until I was 18, alipokuja hm kwa kuumwa na cha kushangaza aliumwa kdg tu na kufa huku nikimshuhudia tn tukiwa pekee tu wawili ni kama alikuja kuniaga ktk siku zake za mwisho. Cant ever 4get coz nililelewa bila mama na baba mzazi. Can u imagine wat I miss? May Allah 4give her na amlaze mahali pema. Its 16 years nw.
Nikiwa o-level mwalimu alitoa home work. Mimi baada ya kuipitia ile h/w niligundua maswali yote kuwa marahisi na majibu yake nilikuwa nayo hivyo nikaamua kutofanya ile h/w. Asubuhi yake mwalimu aliniuliza kwa nini sikufanya h/m. Nilimjibu kuwa maswali yote niliona marahisi na hivyo sikuona umuhimu wa kufanya h/m labda niulize nikujibu. Alinipiga vibaya.
Siwezi sahau nlikaa SIKU TATU bila kufunga jicho,nlikuwa na usingizi kiasi nilitaka anguka njiani nkitembea. nlikuwa namuuguza mgonjwa KCMC.Na bado alifariki. ya Mungu mengi.