Sitasahau Special Thread

PJ my shemeji katika siku nilizocheka ..hahahahaha nitarudi baadae tupange safari ya home dec.
 
Sitosahau siku mke wangu amenikubalia kunitembelea kwa mara ya kwanza baada ya kumpigia misere na kumuomba kampani yake kwa zaidi ya mwaka, na akaondoka bila kunipa tunda. Maana nilipatwa na hali mbili tofauti.

Kwanza nilimchukia sana kwa ukatili alionifanyia, pili nilimuheshimu sana kwa kujiheshimu kwake kwani ndiko kulikopelekea nia yangu ya kumuoa.
 
PJ my shemeji katika siku nilizocheka ..hahahahaha nitarudi baadae tupange safari ya home dec.
Shemegi yangu si umeona mwenyewe mambo hayo eeh?
Ilikuwa ni noma ati!...ningezubaa siku hiyo huenda hata nisingekuwa hapa kwenye kiti cha kunesanesa!
 
Bujibuji na vituko vyako ...te te tehh hebu niwekee kingine cha ukubwani bathi

Tarehe moja ya mwaka huu nilifumaniwa, nikambia, nikasahau kuwa hata eneo la tukio nimeenda na gari, nikaliacha hukohuko. Hii ni kweli kabisa, jasho lilinitoka, nikanywa pepsi baridi sana nne, hazikufua dafu.
www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/101531-nilianza-mwaka-kwa-kufumaniwa.html
 
Dah! kuna siku nilikuwa na ka date enzi zileeee, nikapiga polish kibuti fresh halaf nikakiweka dirishani ili kipoteze harufu ya kiwi, dah! kuna mzembe aliondoka navyo, natoka bafu nishasoap soap napiga miluzi ya kusherehekea ki date, naangalia dirishani vibuti havipo ikabidi niahirishe date. Alaaniwe jamaa aloiba vibuti vyangu, tusemeni amen
 
Ntakurudishia ndula zako, mi mwenyewe nilikuwa na kideti, halafu nikicheki chinz chachacha imekatika katika, huku nimeishikilizia na waya, huku kwingine kuna uzi wa gunia, ulifikiri ningewezaje kumdaka kishtobe kwa hali hiyo?
Kishtobe mwenyewe msomi, kamaliza form 4?
 
Aaaargh! kamanda kadada kalikuwa faifu star, hiyo hela ya vibuti yenyewe niliiba kwenye kiduka cha faza enzi zile na nyengine nikaongezea kwa mkopo, kibuti kile kilinipatia mahitaji yangu yote ya ngono kijijini na nilikuwa na uhakika na haka kadada ningekakamata thru kibuti kale lakini kibaka akachafua mchezo wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom