Sitasahau Special Thread

sitamsahau mwl kawa kukukaririsha table s/msingi na mwl msuya viboko vyake kileo iyo mwanga pia mwalimu mdeme,makata,mgonja,J4 Kifaru sec ilikua ni jeshi si shule
 
Nikiwa darasa la saba mwalimu akawa anafundisha nishati. Akasema mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, nikamuuliza giza ni nini? Nilikula fimbo za kutosha.
Nikiwa sekondari nilimuuliza mwalimu mkuu, dagaa kwa kiingereza anaitwaje, nikapewa suspension ya mwezi mzima.
Walimu wa shule za upe na za kata hatari kabisa

Nimecheka mpaka mbavu zinaumaaaaa ujue
 
Mie nilifurahi sana nillipoona matokeo yangu ya form 6,coz wakati nasubiri pepa ya mwisho nililala nikawaomba wenzangu waniamshe mda ukufika wakanisahau,
Niliposhtuka ilikuwa saa nane na nusu na mtihani ulianza saa nane kamili,nilikurupuka na shimizi na sketi na soksi miguun bila viatu wala,shati nikiwa nalia kwa sauti huku nikielekea chumba cha mtihani nikikimbia,
Dah namshukuru mungu nikaruhusiwa kufanya mtihani na nikafaulu vizuri sana.

Daaaaa tokea nimejiunga JF wewe ndo umenivunja mbavu pia nimekumbuka stress za pepa mpaka nishawahi kujipiga bao .huku naambiwa bado dk 15 afu maswali mengi na ninataweza paper ya chemistry f3 kwenda f4 mana niliupania nipate A .
Nilijibu kwa kuremba nikashangaa utamu unanianza
 
nlipokuwa form 3 cku ambayo nlijificha chini ya dawat ndan ya sket ya class mate wangu siku nliyokuwa natafutwa kama osama na ticha m1 katili, baada ya hapo mtoto akawa dem wangu bila hata kusema neno

Mkuu umenivunja sana barikiwa sana pia una mbinu za kikomamdoo sema hujijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom